Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa

Mwigulu sio tu kuwa anaendesha mauaji ya wananchi wasio na hatia maana kila jimbo alilopelekwa kama meneja wa kampeni lazima watu wafe bali pia yeye ndiye anayeuwa CCM na katika hilo namwomba mungu azidi kumweka hai ili akamilishe mauaji ya CCM kabla ya 2015. Nape yeye ana kazi moja tu, kutengeneza jeneza la CCM. Nawatakia kila la heri.
 
Unahitaji kuwa hayawani ili kupata ujasiri wa kumtaja Mwigulu Savimbi Nchemba hadharani; achilia mbali kumsifia!! (May he rot and burn in hell)
 
Na kweli, maana tuna punda wa unga, punda wa kucha, punda wa meno, punda wa risasi, punda wa bomoa bomoa, punda wa kukwepa kodi, punda wa kamat kamata ya polisi na JWTZ, punda wa..... punda wa......
Punda wa madawa ya kulevya ya vigogo.
 
MH>MWIGULU LAMECK NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA NYEUPE KAMA THERUJI.

AFANIKISHA HARAMBEE YA TSH.MILIONI 19,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE IRAMBA MAGHARIBI.

Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.

Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.

Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.

Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.

Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hii.

Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.

Leo Mh.Mwigulu Nchemba ametembelea ujenzi wa barabara mbali mbali ndani ya jimbo lake.Akiwa ameambatana na DC na Mkurugenzi wa wilaya,Mh.Mwigulu Nchemba ameona ujenzi wa barabara kata ya Kidalu barabara inayounganisha wananchi na makao makuu ya wilaya.

Ni barabara inayojengwa na TANROAD kwa kiwango cha changalawe.Pia amezungukia sehemu kadhaa za barabara zinazotajwa kuwa ni korofi kipindi cha masika,lengo likiwa ni kujenga miundombinu safi kabla masika hayajaanza.

Katika kuonesha mshikamano wa kiutendaji uliopo ndani ya jimbo la Iramba,Mbunge huyo aliambatana na madiwani wa kata na makatibu wake pamoja na viongozi wa serikali + Injinia wa wilaya ilikushauriana namna ya kufanikisha ujenzi imara na bora wa miundombinu ya barabara ndani ya jimbo la Iramba.

Unapojikuta katika jamii unayoishi una sifa kama za Mwarabu Tipu-tipu halafu unaendelea kujisifia ni ujuha na kukosa akili. But I have news for you guys: Nothing stays for ever, Only God will!
Before you know it, takataka zote zitakuwa historia, hata kama itakuwa historia itakayowagharimu watanzania kwa mara ya pili.

Halafu kama ulikuwa member halali wa JF ukawa banned huna haja ya kuja na ID mpya ukajidai kuongea kwa niaba ya Mwigulu. Wanaume hawafanyi hivyo. Take my advise: omba radhi kwa upuuzi wako labda utasamehewa. Ni dalili ya kujitambua, uungwana na utu uzima. Just for once do the right thing!
 
MH>MWIGULU LAMECK
NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA
KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI
NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA NYEUPE KAMA THERUJI.

AFANIKISHA HARAMBEE YA TSH.MILIONI 19,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI
KWAKE IRAMBA MAGHARIBI.

Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi
ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya
singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki
Dayosisi ya kati KKKT.

Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na
themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua
ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.

Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko
mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na
kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao
vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya
mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa
miguu akiwa upande wa madiwani.

Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu
alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya
kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na
wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.

Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa
wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za
ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na
aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa
madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya
nchi hii.

Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya
kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea
amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na
niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu
aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri
kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.

Leo Mh.Mwigulu Nchemba ametembelea ujenzi wa barabara mbali mbali ndani
ya jimbo lake.Akiwa ameambatana na DC na Mkurugenzi wa wilaya,Mh.Mwigulu
Nchemba ameona ujenzi wa barabara kata ya Kidalu barabara
inayounganisha wananchi na makao makuu ya wilaya.

Ni barabara inayojengwa na TANROAD kwa kiwango cha changalawe.Pia
amezungukia sehemu kadhaa za barabara zinazotajwa kuwa ni korofi kipindi
cha masika,lengo likiwa ni kujenga miundombinu safi kabla masika
hayajaanza.

Katika kuonesha mshikamano wa kiutendaji uliopo ndani ya jimbo la
Iramba,Mbunge huyo aliambatana na madiwani wa kata na makatibu wake
pamoja na viongozi wa serikali + Injinia wa wilaya ilikushauriana namna
ya kufanikisha ujenzi imara na bora wa miundombinu ya barabara ndani ya
jimbo la Iramba.

Wana Iramba dawa ya mwigulu tunayo! we unaekuja na uzi wa kumpamba na ikiwa hakuna alichokifanya cha maana toka awe mbunge, wanaoishi Iramba wanaelewa matatizo chungu nzima we kwa njaa zako unaongepea watu ili iweje? hata kama aliitisha harambee cyo mapenz yake kutoka moyoni anataka awahadae watu kisiasa ili wamchague tena ila ngum sana hiyo, hali ya kisiasa Iramba nafkiri ye mwenyew anajua upepo ukoje.
 
Na kweli, maana tuna punda wa unga, punda wa kucha, punda wa meno, punda wa risasi, punda wa bomoa bomoa, punda wa kukwepa kodi, punda wa kamat kamata ya polisi na JWTZ, punda wa..... punda wa......
Mkuu uko sahihi,labda niongezee.punda wa mabomu,punda wa udini.
 
Wasomi UDSM wamemponda mwigulu, Vilaza wa Lumumba wanamsifia Mwigulu. Kama wasomi wenzake hawamkubali hili jamaa, Basi Mwigulu ni kilaza (logic)
 
Makanisa na misikit yanayo wapokea hawa wauaji na mafisad na kupokea fedha haramu kutoka kwao cjui wakirud kuomba msaada kama wao walivyo wasaidia 2015 mtawambia nn?
 
MH>MWIGULU LAMECK NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA NYEUPE KAMA THERUJI.

AFANIKISHA HARAMBEE YA TSH.MILIONI 19,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE IRAMBA MAGHARIBI.

Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.

Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.

Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.

Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.

Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hii.

Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.

Leo Mh.Mwigulu Nchemba ametembelea ujenzi wa barabara mbali mbali ndani ya jimbo lake.Akiwa ameambatana na DC na Mkurugenzi wa wilaya,Mh.Mwigulu Nchemba ameona ujenzi wa barabara kata ya Kidalu barabara inayounganisha wananchi na makao makuu ya wilaya.

Ni barabara inayojengwa na TANROAD kwa kiwango cha changalawe.Pia amezungukia sehemu kadhaa za barabara zinazotajwa kuwa ni korofi kipindi cha masika,lengo likiwa ni kujenga miundombinu safi kabla masika hayajaanza.

Katika kuonesha mshikamano wa kiutendaji uliopo ndani ya jimbo la Iramba,Mbunge huyo aliambatana na madiwani wa kata na makatibu wake pamoja na viongozi wa serikali + Injinia wa wilaya ilikushauriana namna ya kufanikisha ujenzi imara na bora wa miundombinu ya barabara ndani ya jimbo la Iramba.

Maagizo ya Lumumba Kila post lazima mumtaje Dr slaa...
 
Unamfagilia sana lakini bahati mbaya walio wengi nchi hii wanaujua ukweli kwamba sasa hivi huyo mwigulu ndiye muuaji mkubwa wa watu wasio na hatia na chama chake kimempa kibali cha kufanya maovu hayo akilitumia jeshi la polisi na wale askari wake wa g guards
 
Mwigulu = Punda wa mabomu wa CCM na mikanda ya ugaidi ya kughushi!!
 
Mleta mada nakupa pongezi sana "sundumeru"
 
wenzako wanabebeshwa unga wa sembe wewe unabebeshwa ujinga wa mtu aiyepigwa ban humu jamii forums kwa kuonekana hana akili timamu
 
Mpelekee ujumbe na yeye aache kuwarubuni watoto wa kike anaowasomesha kwa kuwadai ngono!
 
wenzako wanabebeshwa unga wa sembe wewe unabebeshwa ujinga wa mtu aiyepigwa ban humu jamii forums kwa kuonekana hana akili timamu

Mwigulu hoyee! Hata yeye anaye anayembebesha. Mama ya watoto bana! Ziko kazi Mwigulu anafanya kwa ufanisi

ImageUploadedByJamiiForums1375184619.101736.jpg
 
Back
Top Bottom