Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

'Wasomi wametusaidia nini Tanzania'... Rais Magufuli
 
Je Thesis yake ameiwakilisha? (disseminate)
Je Teyari ameitetea? (defend)
je utafiti wake umekubaliwa(Approved by supervisors)

Ph.D nyingi za Tanzania hazipitii hatua hizo na mtu tu kufanya huo utafiti wake mwisho wa siku utasikia ana Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu
Ph.D study bila kuimaliza kwa kufikia hatua hiyo ni sawa na kuandika report halafu unaifungia kabatini bila kuwapa watu waisome.

Kama Mwigulu amepursue andiko la Ph.D na ati amefuzu basi Ph.D yake ni fake.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Nimedokeza mara nyingi huyu alikowekwa siyo anafaa wizara ya fedha
 
PhD ionekane kuleta ufanisi wizarani kwake,vinginevyo itakuwa ni Sanaa kama ya "maganda "korosho.
 
Itanue taarifa kidogo basi
eg, (1)amewakilisha lini tasnifu/andiko lake la uzamifu,
(2) Jina la thesis aliyoifanyia utafiti,
(3) Jina la profesa aliyemsimamia.
etc etc.

Mleta thread tafadhali rekebisha thread ieleweke kwa wasomi!
 
Akiwa kama kiongozi Haiwezi kuwa na msada kwetu hyo,na sidhani kama atabadilika.
 
Back
Top Bottom