Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

waliotangaza nia za kugombea uraisi mpaka sasa hakuna mwenye sifa za kuwa raisi.
 
Mwigulu hana sifa yyte mm ninawashangaa mnao mpigia chapuo na pia hafanani na Zitto, kabwe anauwezo wa kat unaoelekea kuwa uwezo kamili,hivyo kumfananisha zitto na mwigulu ni kilosea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom