Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

Shule za kata ni shule kwa jina tu na watoto wa masikini tu ndiyo wanadanganywa kusomesha mtoto wako shule ya kata ambazo hazina hata kimoja kizuri majengo, walimu, vitabu ... shule nini hapo. Kama unapenda shule za kata peleka watoto wako kiongozi gani mtoto wake anasoma shule za kata!
 
Ushabiki bila mapenzi ni unafiki!! Waambie na wenzio wenye tabia kama hii. KAMA UNAMAPENZI NA ZITO MPELEKE AKAIONGOZE FAMILIA YAKO KILA SIKU ZITO..., ZITO..., HAKUNA MAMBO YAKUJADILI AU UMEFUFUKA NI MZIMU HUENDI NA WAKT..... ACHA UPUVA.
 
ok,lakini isiwe 7bu ya kuwakebehi maskini wanaosoma ktk shule hz
 
Ushabiki bila mapenzi ni unafiki!! Waambie na wenzio wenye tabia kama hii. KAMA UNAMAPENZI NA ZITO MPELEKE AKAIONGOZE FAMILIA YAKO KILA SIKU ZITO..., ZITO..., HAKUNA MAMBO YAKUJADILI AU UMEFUFUKA NI MZIMU HUENDI NA WAKT..... ACHA UPUVA.

sisi ni wasemakweli hatuwezi kuona bavicha mnapotosha and then tukae kimya never
 
kwa kipindi kirefu sasa chadema iko vibaya kisiasa hasa baada ya wananchi kuchoshwa na siasa maji taka za chama hicho na dharau,kebehi kwa wananchi kama alivyosikika mbunge mmoja wa chama hicho akidharau shule za kizalendo tunazosomeshea wenetu,na pia kauli ya mbunge wa arusha mjini kuwatukana wananchi wa dar kwa kuwaita wala miguu ya kuku ilhali viongozi wake wa juu ni miongoni mwa wakazi wa dar,pia ukabila uliogubika chama hcho na hlo limedhihirika baada ya mbunge m1 wa kaskazini kuitisha mkutano wa chadema kigoma na kuwatukana wananchi,pili imepata pigo baada ya kumuondosha kundini mbunge wa kigoma kaskazini mh zitto kabwe na kufanya kila hila za kumchafua ili wananchi waondoshe imani kwake,mengi wamemfanyia na anajitahd kutojbu mapgo ila hii wanayofanya sasa ni too much baada ya kumuona kang'ara kwenye sakata la escrow wakamzushia skendo ya mtwara na lipumba even though lipumba alikana,pia sasa wameanza kumchafua kuhusu mwigulu tbc sasa wanaumbuka kwani zitto hakusema zaidi ya hichi kwa mwigulu.
" nakutakia kila la kheri Katika
kampeni zako. Sisi wengine
umri umetuzuia hivyo ninyi vijana wengine endeleeni"
Mhariri wa Mtanzania Absalom
kibanda ambaye alikuwa
Tanzania Daima siku za nyuma
akapindua,na ndiye ambae anatumika sana na chadema,jamani chadema acheni unafiki siasa ni game of chance muacheni kijana afanye yake au ndio maneno ya mkosaji?nataka majibu.ukisikia paa........
Cc.
Tundu lissu
christina lissu
freeman mbowe
joyce mukya

waulize wenzio akina mwanadiwani na kinana a.k.a mzee wa ndovu watoto wao wanasoma shule ya kata gani ndipo utaelewa hizo ni shule,au kichaka cha kukulia.
 
Hivi huku wanakokuita kuwatumikia wananchi ni lazima uwe Rais!!!

Mbona katika mamlaka ya huo ubunge walionao hatujaona la maana sana walilofanya?
 
We kweli unatabia za mbwa. Unadhani kuna mtz Unaona umuhimu wa Shule za kata. Nna uhakika hata watoto wako hawasomi huko coz hamna waalimu vitabu nk. Shule za kata ni mtaji wa kijinga wa kisiasa wa ccm na Hakuna wa kudanganywa. Nadhani umeona muamko wa watz kwenye uchaguzi serikali za mitaa...... Endelea kutetea kata kuwazidi hata nape na kinana wanaozunguka nchi nzima na bado wanapigwa chini.
Una chuki binafsi na lissu ambaye ccm inamtegemea kwa ushauri mambo yanapokuwa magumu (rejea escrow). Uongo umefika kikomo ccm imebaki na siasa zitakazokataliwa za kuingiza mambo ya dini kwenye katiba. Haitafanikiwa kamww
 
They are both opportunists. Hawa wawili wote wanafiki tu. Tunawachora tu hawana lolote. Usikute hapo wanajaribu kutengeneza dili ili mgombea mmoja wapo mwenye nguvu awanunue na hawanunuliki.
 
waulize wenzio akina mwanadiwani na kinana a.k.a mzee wa ndovu watoto wao wanasoma shule ya kata gani ndipo utaelewa hizo ni shule,au kichaka cha kukulia.

kutokusoma watoto wao shule za kata haihalalishi m2 kuwatukana watoto wa kimaskini wanaosoma hzo shule,serikali ya ccm imempa uhuru yeyote kumsomesha mwanawe popote atakapo bila kbughudhiwa,howcome wewe tajiri umbughudhi maskini!?
 
We kweli unatabia za mbwa. Unadhani kuna mtz Unaona umuhimu wa Shule za kata. Nna uhakika hata watoto wako hawasomi huko coz hamna waalimu vitabu nk. Shule za kata ni mtaji wa kijinga wa kisiasa wa ccm na Hakuna wa kudanganywa. Nadhani umeona muamko wa watz kwenye uchaguzi serikali za mitaa...... Endelea kutetea kata kuwazidi hata nape na kinana wanaozunguka nchi nzima na bado wanapigwa chini.
Una chuki binafsi na lissu ambaye ccm inamtegemea kwa ushauri mambo yanapokuwa magumu (rejea escrow). Uongo umefika kikomo ccm imebaki na siasa zitakazokataliwa za kuingiza mambo ya dini kwenye katiba. Haitafanikiwa kamww

punguza hamaki kaka,tumia busara,epuka matusi
 
kutokusoma watoto wao shule za kata haihalalishi m2 kuwatukana watoto wa kimaskini wanaosoma hzo shule,serikali ya ccm imempa uhuru yeyote kumsomesha mwanawe popote atakapo bila kbughudhiwa,howcome wewe tajiri umbughudhi maskini!?

soma vizuri maelezo ya tundu
hajambugudhi mtu yeye kasema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata ,shida hapa tundu lisu
hataki unafiki kulingana na uwezo wake hawezi kupeleka mtoto kwenye hizo shule,ulilenga kumchonganisha tundu lisu
na jamii lakini elewa watu wanauwezo wa kuelewa, na adui yao wanamfahamu, take care.
 
kwa nafasi yake hakutakiwa kuongea maneno yale believe me or not,bavicha kubalini jamaa yenu kateleza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom