Mwigulu na tuhuma dhidi ya CHADEMA

Mwigulu na tuhuma dhidi ya CHADEMA

Machemba alikuwa chizi zamani hawezi kuongea bila kutaja chadema mjinga xana yle anajipendekeza xana ccm chadema ndo tegemeo jipya kwa watanzania hata waseme nn igunga wana hasira walimpata mbunge kwa rushwa mahakama ikatengua .
 
Huwa namshangaa sana Mwigulu, yeye badala ya kujadili sera za chama chake, yeye anaponda CDM tuuu! Aina ya wanasiasa na wasomi sisi wa kibongo ni shida sana!
 
Wakuu, nadhani Jeshi la Polisi linapaswa kuona kwamba linadhalilishwa na huyu bwana. Kama ni kweli, inakuwaje intelijensia ya Mwema isiweze kujua hiyo mipango ya CDM? yaani Mwigulu ndo intelijent kuliko polisi? polisi hii ni kashfa kwenu. Hata kama mtadhani Mwigulu anapiga propaganda za kisiasa bado itakuwa amewakashfu tu, kwanini hamlitambui hilo mkachukua hatua?
 
:majani7:Kwa mtu kuwa na GPA ya juu siyo tija kwa sababu siku hzi wako baadhi ya wahitimu wanakuwa wameandikiwa hizo 'assignments' pamoja na 'dissertation'. kwa hiyo mtu anaweza kutoka na first class lakini akawa hawezi kujenga hoja ya maana. :majani7::majani7:
 
Nafikiri mambo mawili yafanyike. CDM lazima ijiandae kwani kwa ulimwengu wa sasa mtu anaweza kutengeneza picha ya uongo tu na kuweka wahusika watu mnaowajua na kwa wasiojua ambao ni wengi itaonekana ni kweli tu. Kumbuka jinsi ccm walivyotengeza sms na kuzirusha kwao kupitia simu za viongozi wa CDM mwaka jana. Si wote waliokuwa wakiamini kuwa hicho ni kidogo tu anachoweza kukifanya mtu kwa utaalamu wa IT. Wengi mpaka leo wanaamini hizo sms zilitoka kwa viongozi wa CDM.
CDM ichukue hatua ya kukabiliana na kashfa hizi za Mchemba kwa kumtaka azithibitishe la sivyo hatua za kisheria zichulkuliwe nadhani hiyo itamweka kule anakostahili hata kwa wanaccm wenyewe kuwa ni chizi tu linaloongea vitu bila ushahidi wowote.
 
Hapa tunapiga kelele tu lakini mimi ningekua igp mwema angetoka kwenye kipindi tu na kuangukia mikononi mwangu kwa ajili ya mahojiano.

Inakuwaje tanzania yetu hii mtu anazungumuzia mambo mazito kama haya, anamaliza kipindi ,anaondoka salama?
 
Acheni kulalamika sasa sie tuwasaidiaje? Nendeni mahakamani tukajue mbivu na mbichi.......kwa hakika viongozi wako wanajua ukweli na sio wewe ndio maana wamefyata mikia

Problem ni CCMUTOPIA haiwezekani katika nch inayojiita ya utawala bora,mtu ana ropoka lakini serikali imekaa kimya,kama kweli mpango huo una ratibiwa na CDM basi serikali yetu inavunja katiba kwa kushindwa kuifikisha CDM mahakamani,kwani haki ya kikatiba juu ya usalama wa raia ni wajibu wa serikali
 
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).

Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.

Wadau ikoje
Unajua mara ya kwanza nilivyomsikia mwigulu nchemba bungeni alivyokuwa akichangia bajeti ya 2012 2013 nilishangaa saana kusikia eti ndie mweka hazina mkuu wa ccm, lakini leo sishangaii hata kidogo kusikia mwigulu akiongea hivyo juu ya cdm kwani ni kama witted.
 
Back
Top Bottom