Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.
 
hivyo unaposema katukana ndo basi inatosha? katukanaje? huna video? wapi na wapi hiyo ilikuwa? hebu andika kirefu cha TANU hapo!
 
Yana mwisho kwani nae anayo muda wake atakapojadiliwa juu ya matusi yake. Kwani anayo ndoto ya urais. Mwenye ndoto ya urais utakiwi uwe na matusi kwa wapinzani. Kwani wapinzani nao ni watanzania Mwigulu asifikirie kwa vile wao wanashika dola kwaio wao ni watanzania kuliko wengine. Sifa ya kiongozi mzuri ni yule ambaye hana matusi na anajenga hoja kwa wenzake. Ipo siku atakosa sifa ya kugombea urais kutokana na matusi yake
 
Mnamtesa sana huyu mzee mlaaniwe enyi nyote mnaotaka madaraka kwa style ya " heri punda afe lakini mzigo ufike"
 
Attachments

  • 1442035380064.jpg
    1442035380064.jpg
    12.1 KB · Views: 1,375
Yaani mm namshanga mwingulu yaani mwanaume yule utasema hajazaluwa mdomu umemkaaa wazi kawa naniii kazi kumtukana lowasa mbona lowasa hababaiki nao wao kina atakae simama lowasa lowasa itakua lowasa anawawasha sana ndio maana haiwezekani kila siku kumtukana lowasa na sijui familia ya mwiguru mchemba inajisikiaje kwa maneno ya mzazi wao asie kua na hadabu kiasi hiki na ccm kwa ujumla siasa zao zimekua za matusi matusi tuuuu eeeeeeeeeeeeeeeeh na mizikiii mafumbo hatuelewi watu wanafata Sera au muziki au

Vichekesho au wasaniiiii

Au maneno machafu hadi sasa kampeni za ccm sijazielewa zinalenga nini lowasa
Ukawa
Sumaye
Au
Maendeleo
Au hapa
Kazi tuu sijaelewa bado
 
Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za Ccm Kumtukana Mgobea Wa Ukawa Mh Lowassa Kila Kona. Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili? Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyubani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya Ccm? Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.
Mkuu huyu ni wa kusamehe kwani pigo alilowapa Lowasa la kuhamia UKAWA limewachanganya mno na kuwafanya wachanganyikiwe na hawajui cha kusema, wakumbuke matusi haya ndiyo yalimuweka WENJE madarakani baada ya wananchi kumpigia kura za huruma. Mwisho wa CCM umefika na mwisho wa wanaCCM kufikiri vizuri.
 
mwenyezi mungu wewe husio na ubaguzi wowote na umemleta lowasa kwa sababu maalumu, muweke lowasa ikulu tuone mwisho wa hayo matusi
 
hivyo unaposema katukana ndo basi inatosha? katukanaje? huna video? wapi na wapi hiyo ilikuwa? hebu andika kirefu cha TANU hapo!

Kama Hukufuatilia Kampeni Za Ccm Jana Mjini Musoma Kaa Kimya.
 
Mkuu huyu ni wa kusamehe kwani pigo alilowapa Lowasa la kuhamia UKAWA limewachanganya mno na kuwafanya wachanganyikiwe na hawajui cha kusema, wakumbuke matusi haya ndiyo yalimuweka WENJE madarakani baada ya wananchi kumpigia kura za huruma. Mwisho wa CCM umefika na mwisho wa wanaCCM kufikiri vizuri.

Kumsamehe tu haitoshi tarehe 25.10.2015 tumtoe ubunge ili iwe fundisho kwa wote wenye matusi na jeuri
 
huu jamaa ni mpuuzi sana! ajui kama kuna maisha baada ya Uchaguzi.

Watu kama hawa awastahili kuwepo kwenye system.
 
Huyu mwigulu si mlokole?au ulokole unaruhusu ujinga katika siasa?nijuzeni mnaojua mambo ya imani vizuri
 
Matusi ya wana CCM na mbinu chafu za Membe kwa kununua watu ili wamtukane Lowasa ndizo zitawafanya Watanzania wampe kura Lowasa kwani wanajiuliza maswali mengi iweje ccm walimkata Lowasa lakini bado wanamsakama? Watanzania wa sasa wapo makini wanajua CCM roho zinawauma wameamua kumimina matusi wakidhani yatawasaidia kumbe yanachochea mabadiliko zaidi.
 
Tukaneni kwa kadri mtakavyo ila fahamuni kuwa tumeamua kuwa Lowasa anatosha! Kura zote tutampa na hakuna kinachoweza kubadilisha maamuzi yetu. Mwiteni majina yote ila sisi Lowasa ni raisi wa awamu ya tano! Basi!!!
 
Back
Top Bottom