Mwigulu na January Makamba wasafisha Bumbuli hakuna tena UKAWA

ukwelinauwazi

Member
Nov 24, 2014
71
91
12144658_431915607010673_4583238688570454796_n.jpg
Mwigulu Nchemba na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba wakiwasili Kata ya Usambara kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni mapema hii leo.
12115787_431915657010668_1328942883456690202_n.jpg
Wajumbe wa timu ya Kampeni ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi wakiteta Jambo.
12144793_431915707010663_1738931926840346145_n.jpg
January Makamba akimsikiliza Mwananchi wake kwa Makini.
12074760_431915770343990_6392683590182578764_n.jpg
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Funta hii leo.
12074695_431915807010653_2545599694684219592_n.jpg
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Tamota wakati wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwa Chama cha Mapinduzi hii leo Jimbo la Bumbuli.
12140598_431915860343981_7517931991549640305_n.jpg
January Makamba akizungumza na Wananchi wake namna alivyotekeleza ahadi zake zilizopita na anavyokwenda kusimamia ilani ya Uchaguzi kwa miaka 5 ijayo kwa wananchi wa kata ya Tamota.Moja ya jambo kubwa la kimaendeleo kwa kata ya Tamota ni kupata umeme uliofika makao makuu ya kata hiyo.,
12096400_431915997010634_7182132134452604633_n.jpg
January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa Vuga,Mbali na kuwaomba kufanya uchaguzi kwa Amani,Pia amesisitiza Watumishi wa serikali kuacha kujihusisha na siasa chafu,Wazingatie maadili ya kazi zao ilikuijenga Tanzania imara.
12122774_431915897010644_6447686051569558284_n.jpg
Wananchi wa kata ya Vuga wakishangilia Utekelezaji wa shughuli za maendeleo uliokuwa ukitajwa na Mbunge wao Januray Makamba.
12074947_431916090343958_4652256120755483448_n.jpg
Mwigulu Nchemba na January Makamba wakiaganana Wananchi wa kata ya Fuga mra baada ya Mkutano wa hadhara wa kampeni.
12065518_431916153677285_3800024083578019786_n.jpg
January Makamba akisikiliza hoja za Wananchi wake kuhusu Maendeleo ya Bumbuli.
12144942_431916187010615_7325704399968599236_n.jpg
Mwigulu NChemba na January Makamba wakiwasili kata ya Mbonde.
12105778_431916237010610_4592014371483598939_n.jpg
Mapokezi yakiendelea..
12118791_431916307010603_8969215292685271810_n.jpg
Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli.
12107937_892132474173911_5682095230654606343_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi January Makamba kwa Wananchi wa kata ya Mbonde,Amesisitiza kuwa Bumbuli ni Halmashauri mpya ambayo imepatikana kwajitihada za Mbunge January Makamba hivyo wamuache aimarishe Halmashauri hiyo ,Pia ameahidi kusaidiana na January Makamba kuhakikisha Kiwanda cha Chai kinafunguliwa haraka iwezekanavyo katika kata hiyo.
12144826_892132524173906_1742462004336530964_n.jpg
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Mbonde hapa Bumbuli hii leo.
12122515_431916760343891_3509826800547799869_n.jpg
January Makamba akizungumza na wananchiwa Mbonde kuwa ahadi yake kubwa atakayohakikisha inafanyiwa kazi ndani ya muda mfupi ni Ufunguzi wa kiwanda cha Chai kata ya Mbonde ilikurejesha shughuli za Uchumi za Wananchi wa Bumbuli zinazotokana na zao la Chai.
12140699_892132317507260_3879914355230082803_n.jpg
Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wakata ya Mponde.
11214368_892131830840642_3968329591977710725_n.jpg
Vijana wa kazi wa Chama cha Mapinduzi wakiwasili kwenye Mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli hii leo.
12140650_892131497507342_3350243022593920941_n.jpg
Mwigulu Nchemba na January Makmba Mbunge wa Bumbuli wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano Kata ya Soni.
12119062_892131580840667_2870690325380577449_n.jpg
January Makamba akisalimiana na Wananchi wake wa kata ya Soni.
12107750_892131280840697_4117221506877811481_n.jpg
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Soni Jimbo la Bumbuli Jioni ya leo.
12141705_892131407507351_195418414250970974_n.jpg
Umoja wa Wananchi wa kata ya Soni kwa Chama cha Mapinduzi.
12122839_892132207507271_6455260927513445443_n.jpg
Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Ndg.January Makamba akizungumza na Wananchi wa kata ya Soni kuhusu Umuhimu wao wa kuendelea kuiamini CCM na kuichagua Kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
12105879_892131627507329_3285286168733302540_n.jpg
Mwananchi anapofurahia orodha ya shughuli za Maendeleo alizofanya Mbunge wake January Makamba ikiwa ni pamoja na Kusambaza Umme,Huduma za AFya na kuboresha huduma za Usafiri.
12115735_892132277507264_7528203324597614399_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi na kumuombea Kura January Makamba kwa Wananchi wa Bumbuli hii leo.
12107097_892131774173981_597559210812369796_n.jpg
January Makamba For Bumbuli.
Picha na Sanga Festo Jr.
 
Ok tunashukuru kwa taarfa yako ya hofu hofu!! Kwa taarfa yako Ukawa wakipita sehemu hawafutiki, inayofutika ni ccm na mwisho wenu ni octbr 25
 
Ivi hawa ukawa akili wanayo kweli! Au ndio ule ujinga muendeleo!

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Wananchi wa Bumbuli-Tanga leo wameonesha upendo wao mkubwa kwa Ndugu January Makamba mgombea ubunge

wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.

Umati mkubwa ulijitokeza na nyuso za furaha zilizotanda kwenye mkutano wa kampeni za ubunge.

Hali hii ni kiashiria tosha ya namna ambavyo Ndugu J. Makamba anayagusa maisha ya watu wa jimbo hilo kwa

namna moja ama nyingine.

CCM ina hazina na tunu kubwa za watu mahiri wenye busara, uadilifu na uchapakazi wa hali ya juu; na Ndugu J.

Makamba ni mmoja kati ya watu hao.

Asanteni sana watu wa Bumbuli kwa mahaba yaliyozidi kipimo.

20151006131628.jpg View attachment 295357 20151006131559.jpg 20151006131726.jpg 20151006131457.jpg 20151006131431.jpg
 
january ana bahati sana.. kila mahali anabebwa tu ubunge alibebwa, uwaziri kabebwa..kuwa mtoto wa kiongozi wa ccm raha sana..unebebwa bebwa tu hata kama ni goigoi huna uwezo kama january
 
Ccm ma vuvuzela kabisa. Yaani kweenda kwa hao wa wili basi mumeshinda kweli? Be seriuos guys!
 
Back
Top Bottom