Uchaguzi 2020 Mwigulu must go

Siasa za Iramba uchaguzi huu zinatakuwa kama za Kyela 2010 ilikuwa ni balaa JF.

Haya ndio mambo yaliyomfanya Mwigulu aende Nigeria kuonana na T.B Joshua kutwa watu kumuwangia kwa maneno yake sio yangu.
 
Kunywa maji ya kutosha Mkuu.
Ukiwa na safari nyingi za kwenda kukojoa itakusaidia kuepukana na mawazo ya chuki Kama haya.

Hizi umeleta Ni propaganda tu.
Ungeleta ushahidi anampinga rais kwenye lipi?

Maneno mengi ushahidi sifuri.

Kunywa maji mengi Sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye siasa zenu za majitaka hebu anzeni na ile ishu yake ya kufeli darasa la saba na kuiba jina kwenda kusomea shule yeye akiwa mzee akasoma na watoto anaoweza kuwazaa!! na watoto wadogo wakamburuza!! waombeni waliosoma nae wawape picha za mahafali ya form four mcheke , baba mzima anavaa taji kama movie ya adult education!! huyu ana damu za kihalifu! akiweza kuchomoa hilo mtambwaga!

naomba nikiri binafsi sioni faida ya wabunge for me ni waste of funds kupitia uchaguzi kampeni, mikopo ya NSSF ni mali ya umma na hairudishwi na masurufu yao! mabilioni ambayo yangemsaidia JPM kutupunguzia njaa, nilisikia mbunge mmoja tu kalipwa tsh 500m na hayuko bungeni mwaka wa ngapi sijui na ukienda kwa wapigakura wake bush ni watu masikini sana wamepauka! hawana hata maji ya bomba, maisha ya watu Africa kwa mamilioni ni duni sana kuna maeneo mengi bado vumbi tupu, watu wengi wanazaliwa kwenye umaskini wanafia kwenye umaskini!huduma za afya ni afadhali ila kulipia dawa uwezo hakuna! watu wengi wana lishe duni, kuvaa nguo moja! kazi yao kubwa ni kushinda porini kukata mkaa!! shame on African leaders ahsante Mkulu unapambana sana.

nadhani Africa ilikurupuka kuiga wazungu kuvamia theory of separation of power!! binafsi nadhani tulihitaji seasonal meetings of law making tu na permanent mahakama na executive.
 
Sawq muheshimiwa, lkini kuwa na wapiga kura wengi upande wako haulalishi ile dhana iliojionesha kwako ya kwamba siku hizi kila unachofanya au kuongea ni kwa maslahi ya Tumbo lako,

hivi unakuaje msomi kama wew unashindwa kabisa kufahamu umuhimu wa takwimu katika tatizo flani kwenye jamii, nchi na dunia kwa ujumla
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.

Lakini pia Kama unavyojua kautaratibu ka chama chetu this time around Lazima pia Mwenyekiti awe anakuhitaji wananchi wanaweza wakakuhitaji Ila Mwenyekiti hakuhitaji Kama alivyokubwaga kwenye uwaziri. Hahahhaha, ngoja niagize juisi nikae ili nisubirie huo mtanange ndani ya CCM.
 
Watanzania wengi bado tunakuitaji tu kiongozi.
Tunakuitaji= Tunakuhitaji
Kama hata kuandika ni shida basi inatosha kusema kuwa wewe uko katika lile kundi la Watanzania wasio na elimu wala uelewa juu ya utapeli wa wanasiasa.
 
Tunakuitaji= Tunakuhitaji
Kama hata kuandika ni shida basi inatosha kusema kuwa wewe uko katika lile kundi la Watanzania wasio na elimu wala uelewa juu ya utapeli wa wanasiasa.
What you choose to believe is not my problem mate.
 
kwenye siasa zenu za majitaka hebu anzeni na ile ishu yake ya kufeli darasa la saba na kuiba jina kwenda kusomea shule yeye akiwa mzee akasoma na watoto anaoweza kuwazaa!! na watoto wadogo wakamburuza!! waombeni waliosoma nae wawape picha za mahafali ya form four mcheke , baba mzima anavaa taji kama movie ya adult education!! huyu ana damu za kihalifu! akiweza kuchomoa hilo mtambwaga!

naomba nikiri binafsi sioni faida ya wabunge for me ni waste of funds kupitia uchaguzi kampeni, mikopo ya NSSF na masurufu yao! nilisikia mbunge mmoja kalipwa tsh 500m na ukienda kwa wapigakura wake bush ni watu masikini sana wamepauka! hawana hata maji ya bomba, maisha ya watu Africa kwa mamilioni ni duni sana kuna maeneo mengi bado vumbi tupu, watu wengi wanazaliwa kwenye umaskini wanafia kwenye umaskini!huduma za afya ni afadhali ila kulipia dawa uwezo hakuna! watu wengi wana lishe duni, kuvaa nguo moja!

nadhani Africa ilikurupuka kuiga wazungu kuvamia theory of separation of power!! binafsi nadhani tulihitaji seasonal meetings of law making tu na permanent mahakama na executive.
Shangali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yale mawe vipi yatapendeza tena mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
huwa napenda sana kushare my own theory, na hii ni from my personal experience, yani ukiwa na boss halafu ukamuona boss wako ni weak na ukapanga sasa akupishe au akitoka iwe zamu yako ukiamini utafanya makubwa zaidi yake kuwaonesha watu wewe si wa mchezo ni Genius basi ndugu yangu Amini nakuambia ‘you will never get that chance’! sababu huwezi kujua ndani ya kapu la boss wako kuna nini na kwanini he is acting that way!!

maana yangu wale wote wanaopania urais wakidhani ni kitu rahisi na wana akili zaidi za kufanya makubwa zaidi ya marais waliopo, with my theory nawasikitikia sana sababu hawataupata kamwe , mtu asie na habari na cheo ndio huja! hata wachore mawe nchi nzima na hewani!

resource wanazotumia vijana ‘wenye akili’ wanaoona wazee wao ni washamba basi nao wakipigania urais, sth abstract , sth they will never catch , resources hizo ni wasted for now nawashauri wangefungua hata kiwanda cha mafuta ya alizeti! baadae watazikumbuka!
 
Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020

Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?

Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.

Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.

Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi

Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.

Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.

Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.

Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,

Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.

Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.

Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.

For how

View attachment 1424589
mamba mnamjua nyie 😢😢😢atawamambalise ohoooo!!!
 
Mwigulu anajua kilichompata Ben saanane,Lissu,mabomu ya Soweto Arusha na alikuwa mastermind wa hii kitu.Dhambi hii itamtafuna mpaka siku ya mwisho, hatabaki salama wallah.
Siku hazidanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom