Mwigulu mtu mwingine aisee

Huyo ni kiongozi wa wote na kuwa na chawa fresh ndio watu wenyewe wewe shoga tulia hivyo hivyo kuchukia mambo ya watu
 
Afuu awe nani wa kumtabiria mtu mabaya au ndio ya baba Yao ya watu wazuri hawafii
 
Hicho ndicho ulichokisoma Mimi nilidhani utasema hajafanya haya na haya kumbe akili Haina chochote pole
 
KAUZA TIMU YAKE YA SINGIDA BIG STARS KWA FOUNTAIN GATE FC
 
Wote nyie akili ni Moja TU
 
Yes anaweza mambo mengi ila hajasema kuwa amechoka kama nchi Bado tunamhitaji Sana
Wewe ndio unamhitaji pekee yako aendelee kukulipa alfu tatu kwa siku kwa uchawa wako. Dolla imepotea, mfumuko wa Bei na Deni la nje limeongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…