Mwigulu mtu mwingine aisee

Wewe unazo ngapi Mzee by the way mada inawahusu vijana wasomi sijui umetoka wapi mangi
 
Hivi nyie waandika kwenye mawe 'MWIGULU NCHEMBA 2015' mmetokea wapi tena? Mtaacha lini kujikomba kwa empty set kama Mwigulu?
 
Hatuongei na mbumbumbu humu
 
Tunawajua vijana wa Kiparangoto mpo wengi mnahofu na Mwigulu sijui mnaogopa Nini
 
Kama aliweza kuchapisha mawe yote pembezoni mwa barabara kuu kuanzia Msamvu mpaka nzega atashindwa vipi kuja na multiple IDs?
Sagudaaaa! Sagudaaaa! Sagudaa!

Nakuita Mara tatu halooo saguda Mara hii saguda oohooooo
Ngoja mwigulu aje
Oya Maghayo umeona ukorofi wa saguda kwa mwakatozo?
😅😅😅
 
Wenye akili timamu hawaumizwi na maneno kama Yako ndiyo maana Uzi unawataka wasomi tu sio viazi
 
Ko kipara ndiye kiongozi au sio
 
Hawapendi kuona Hawa wajinga watakufa ***** zao
 
Anastahili kwa kweli maana wananchi wana mahela serikali ina mahela miradi inasonga reserve ya dollars ndo mpaka yana mwagika.... aiseeh unastahili kuolewa na warabu wanne mashababi mtoa mada
 
Hapa tunataka wasomi sio wewe hata kuandika shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…