Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
- Thread starter
-
- #21
mwigulu anawanyima raha kiasi hiki,mtapasuka msamba poleni.
mwenye siasa za kuuwa watu
ni chadema ikiongozwa na lema pia chadema wanakitengo cha sumu na
makada wake hutembea nazo hadi bar.
akome kwani yeye alikuwa mgombea,unakumbuka alichowafanya jimboni kwake kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji.huwa anajidai kwamba hakumbuki Arumeru kabisa. Alitokwa na povu la kutosha na akaambulia patupu.
Wewe acha umbea! Kwa kesi ipi Lema alistakiwa nayo ya kuua!? WW utakuwa haupo A City na wala haumjui lema kabisa. watu kama nyie ntachanga hela hapa kwa makamanda tukupeleke jando.
Unajua Huwezi lala na Suti,lazma utafute nguo za kulala ss tunampa tu masharti ya A City ili akija asionekane kama kituko maana tunamjua huyu chaliii. Combat tunamnunulia ss avae hizo nguo za kijan wakijaga hapa lazima wapite na magari yenye tinted wasionekane.
ndugu
zangu wana Jf Nasikia Mwigulu yupo Hapo Manyara na anampango wa kuja A
Town. Naomba kumwambia kuwa akija basi nguo za kijan azivulie huko huko
alafu atafute mwenyej amwambia vaz la A City ni lipi? Huku watu wako
macho kweli wa kuja utamjua tu. Mimi natoa Buku 5 za nguo zake akiwa A city yaan combat za CHADEMA wakuu alafu najitolea kumpelekea,tusiseme sana atapiga norinda na kurudi zake Iramba.
siwezi kutumia pesa za
ujambazi mimi,lema ni jambazi wa silaha kwa taluma yake tunamjua vizuri
kuliko hata wewe unayefanya kazi nyumbani kwake,endelea kutumika salama
tuache tuenjoy miaka 50 ya uhuru tumethubutu,tumewaeza na tunazidi
kusonga mbele.
aliyeonekana kituko ni
ally bananga alivyoeenda iramba muulize atakuambia hadi nguo zilimbana
nawakati bananga ni mwembamba chezea mwigulu wewe.
akome kwani yeye alikuwa
mgombea,unakumbuka alichowafanya jimboni kwake kwenye uchaguzi wa
wenyeviti wa vijiji.
mwache aje ajaribu bahati yake tena, ajionee tofauti ya wtu wa Arusha na Iramba kwa mara nyingine.
Anakuja kujiabisha tuu.....Labda anakuja kutafuta kuiba mke wa mtu..
Mpigeni mkiweza
hivi cdm wakichukua dola mfumo qwa vyama vingi utaendelea kuwepo au wataufuta?
Utakuwepo tena Democrasia ya kutosha,huu ni mchango wa mtu mmoja ila pia simlaumu ni kutokana na kuchoka sana na Ukandamizaji wa Ccm lakin pia hapa pia hatapigwa bali ni siasa safi tu mkuu.
asante kwa ufafanuzi mkuu
nimekuelewa.mleta mada anajaribu kuwaonyesha watu kuwa sehemu zenye
utawala wa cdm baadhi ya vyama kama ccm hawatakiwi kitu ambacho si
demokrasia ya kweli.waachwe waende wakajieleze na wananchi ndio waamue
nani watasimama naye
Mpigeni mkiweza
ndugu
zangu wana Jf Nasikia Mwigulu yupo Hapo Manyara na anampango wa kuja A
Town. Naomba kumwambia kuwa akija basi nguo za kijan azivulie huko huko
alafu atafute mwenyej amwambia vaz la A City ni lipi? Huku watu wako
macho kweli wa kuja utamjua tu. Mimi natoa Buku 5 za nguo zake akiwa A city yaan combat za CHADEMA wakuu alafu najitolea kumpelekea,tusiseme sana atapiga norinda na kurudi zake Iramba.
anakuja kukusanya ushaidi wa duniani na mbiguni. Big up Ku-nguru wa kwenye
chemba.