Mwigulu: Mimi ni Nyerere

tatizo mwalimu hakupanga njama za kuuwa wananchi wake, kama huyu alivyofanya kule soweto.

kwani mwigulu amepanga njama za kumuua nani maana tusilete zile vita za kwenye majukwaa tukasahaunkuwa hata tunatakiwa kumhukumu mwigulu kutokana na utendaji wake ndani ya serikali kwa umma na wananchi
 
Basi atoke sasa ndani ya chama kisichoaminika,chama cha magamba na mafisadi,waongo waliotuahidi maisha bora miaka 10 iliyopita kumbe wanamaanisha ya wanafamilia zao na marafiki zao kwa maumivu yetu wanawanchi.

uko sawa dogoro lakini hata kama familia inayumba hatupaswi kuikimbia zaidi lazima tuikomboe tukiwa ndani ya familia siyo nje ya familia maana kiukweli huwezi sema nztaka kuonekana bora kizikimbia hizi changamoto za familia yangu kwakuwa inaniaibisha
 
Kinachosikitisha ni kwamba viongozi wa CCM wanayajua matatizo yote yanayoikabili jamii na namna ya kuyatatua lakini wanacheza reggae tu na bla bla kibao.

Huo unyerere na usokoine uko wapi sasa? Au alikuwa anaitwa na videmu vyake vya utotoni ndo anatupigia kelele leo.

Au anamzungumzia Nyerere baba Yeriko?

mpka sasa mwigulu pekee ndiyo mtu pekee anaye sadifu fikra za nyerere na sokoine katika utendaji
 
Juzi nilikua safarini, nilipopita pale Ruvu kuelekea Chalinze kuna daraja ambapo treni inapita juu, kuangalia juu ya ukingo wa lile daraja kuna Mpuuzi kaandika MWIGULU NDIO RAIS 2015. Nikacheka tu maana huyu jamaa ana ndoto za ajabu mno.......na huku ni kuchafua mazingira yetu, huwezi kuandika ujinga kama huu kila mahali. I hate it.
MANI zumbemkuu Chakaza tpaul na wengine huyu kijana ni mzima kweli? lusungo pale ni Vigwaza au ni Ruvu? Kumbe na wewe uliona ule upuuzi eeeh??

Mkuu huyu jamaa ni mshen.zi kabisa. Two or three weeks ago nilikuwa na drive from Mwanza to Singida nikapita kule Iramba kwa Mwigulu, ajabu ni kuwa hata masikini kawapa hela nyumba zao ziandike kampeni zake wakati wemyewe hawajui kinacho endelea.
Hapa JF kafungua ID kibao YEYE MWENYEWE kujipigia debe, sasa tumefikia mahala mtaka uraisi badala ya kuonyesha weledi wake yeye anajiita mara Sokoine mara Nyerere. Ngoja afike mahali ajiite MUNGU hapo ndio itakuwa mwisho wa maneno.
 
Last edited by a moderator:
Nyerere hakuwahi kukamatwa ugoni,Nyerere hakuwahi kununua vijana kumsifia,Nyerere hakuwa mshamba kujifananisha na kaliotangulia ili kupata sifa,Nyerere alikuwa mwanademokrasia pamoja na watz kukataa vyama vingi lakini akashauri tubadilike,sasa huyu Panyaroad amesahau alivokuwa anamtukana Dr.Slaa kwamba ana mapepo saba,akanunua vijana kulipua mabomu.

Mkuu umetumia nguvu nyingi sana kumuua huyu panzi. Ungesema tuu "Koma we kimburu kujifanyanyisha na Nyerere, bladi fulu"
 
Mwigulu ndie mtu pekee anaesadifu fikra za Nyerere ndio maana sisi wazalendo tunamwita Nyerere
Eti wazalendo. Mwigulu awe Nyerere! Una umri gani wewe? Mwigulu anaweza kuishi fikra za Nyerere? Ulizia vizuri Nyerere ni mtu wa namna gani? Nadhani utakuwa under 18.
 
1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu
chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY
PROFESSION
2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC
Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa
AICC estates hususani mabarabara ya estate ya
KIJENGE
3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men
ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa
sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia
mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au
tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za
uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.
4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na
Dowans
5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na
JK barabarani
6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa
dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais
7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za
uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane
inashinda na vyombo vya dola vinamlinda
kwenye kufanya hayo
8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa
kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao
umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa
CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye
kugombea urais .
9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko
tayari suala la urais limtoe roho
10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima
inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha
11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.
12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.
13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!
14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!
15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!
Mmhhh!!! Hapa kuna dalili za chuki binafsi tu!!!

Mlolongo wa maovu tu ? Hakuna mema?
 
Mr.President-Mwigulu!!

Embu Please!

Mwambie Nyalandu awe Mzalendo kidogo!

Haiwezekani, nchi yetu ivamiwe na Kenya nje ya Mipaka yetu Kitalii kwa Magari ya Watanzania kuzuiwa kuingia Kenyatta Airport kuchukua Watalii wetu alafu yeye Mpaka Leo hajatoa kauli yoyote nzito kuonyesha Uzalendo dhidi ya Uhujumu wa Uchumi wa Taifa letu!!

Nachukizwa na uwajibikaji wa kutia mashaka wa Nyalandu alafu eti anasema anautaka Urais?

Mhe.Rais Mwigulu!!

Waambie Membe, Sitta na Nyalandu!

Mabadiliko ni Vitendo!!

Aidha, Waeleze Uzee sio Makunyanzi Usoni bali ni FIKRA!!

Wagutushe, Waambie ni fedheha nchi yetu kudhalilishwa na Wakenya katika sekta ya Utalii!!

Vilevile, Mweleze Mwakyembe ya kwamba, tunataka Ndege zitue KIA na sio kutegemea KENYATTA INTERNATIONAL Airport!!

Mwakyembe awajibike haraka iwezekanavyo kuondoa LANDING FEE inayowakwaza Wenye mandege!!

Tunapaswa kufikiri kwa Maslahi ya Umma!!

Tunapoteza sana kutokana na High Landing Fee!!

Waamshe Kiongozi!!
 
Eti wazalendo. Mwigulu awe Nyerere! Una umri gani wewe? Mwigulu anaweza kuishi fikra za Nyerere? Ulizia vizuri Nyerere ni mtu wa namna gani? Nadhani utakuwa under 18.

Mwigulu anaishi fikra za Nyerere ndio maana mafisadi hawamtaki.
 
nilichogundua huyu acer nyanile Robert PR kwa kutumia experince yangu na elimu ya bure ni mtu mmoja mwenye id tofauti sasa sijui unaona raha gani we hamnazo kweli
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Ndiye ananayejisifia kabla ya kusifiwa
10277632_1553282158261753_601176141689454566_n.jpg
 
Jamanni watanzania nimeona mabadiliko Sana juuu ya mwigulu nchemba tangu anze kwenda SCOAN nampenda kiongozi anaemtafuta Mungu kwakweli hata anavyooongea Mungu msaidie mwigulu nchemba awe na moyo huo huo Mungu ibariki Tanzania na tuinulie viongozi wanaotoka kwako
 
Huyu jamaa ana tuhuma nyingi sana, hawezi kuzikwepa
Lazima kwanza arudi Igunga akaombe radhi kwa yale aliyoyafanya wakati wa kampeni za ubunge.
Lazima arudi pia Arusha akawaombe radhi wananchi wa kule kwa yaliyotokea
Lazima arudi Singida akaombe msamaha kwa yale yaliyotokea huko.

Tukishasikia kauli za kumsamehe toka wa wananchi wa majimbo haya - basi na sisi watanzania wa ujumla tutamfikiria kumsamehe.

Kiukweli wananchi tulikwazika sana na huyu jamaa - hadi wengine wakampachika jina la SAVIMBI. Siasa zilikuwa zinampeleka kubaya inawezekana kaanza kujistukia kwamba alianza kupoteza dira.

Hata wew una TUHUMA nyingi tu za kubaka vizee
Kwa nin usianze kwanza wew kutuomba radhi ndo tuendele na hao wasaka urais?
 
Eti nyerere shame on you. Kwenda kule wewe ushindwe kupambana na escrow utuambie unafananishwa na Hayat mwl nyerere? Kwanza kitaaluma yeye ni mwl na wewe ni mchumi feki yaani unayeropoka uonekane, me binafsi sikukubali coz unaongea ----- tu, bora ya MAREHEM MGIMWA, yule ndie alikuwa sahihi ila wewe hakuna kitu,
 
umenitonyesha donda la bomu lililouwa watu pale Soweto-Arusha na jinsi polisi walivyokuwa wanawatungua watu risasi kwa mbali
 
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga




CHANZO: NIPASHE

Kwa nini asijifananishe na Mzee wa zama za uwazi au Mr Clean?mbona Nyerere na Sokoine walikuwa hawavai bendera kama yeye?
 
Back
Top Bottom