Mwigulu kujipendekeza to the Maximum, amfate Chalamila

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,614
2,000
Na Maza ndio kampa wizara ya fedha.Kati ya watu hakufaa,hafai ni huyu Mwigulu...ni chawa ndani ya Sufi

Na kati ya makosa ya awamu hii ni kuendelea kutumia watu kama Mwigulu,ashukuru serikali inababaikia MTU akishajiita Dr
Hafai kabisa hata hyo wizara kwake ni mbingu na ardhi
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,765
2,000
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi,kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais mstaafu JK.Kwa kauli hii nathubutu kusema haina tofauti na kauli ya aliyekua RC wa Mwanza Mr.Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa ukichagizwa na kauli yake ya watu waandikie mabango hata ya matusi ktk kumlaki Rais ziarani Mwanza.

Ni wazi amefanya makusudi kuonyesha kwamba;
1.Mama Samia Suluhu siye anayengoza nchi kama wasemavyo watumiaji wa mitandaoni na hata minong'ono ya baadhi ya wananchi bali ni JK.
Kwamba JK ndo ameshika mpini kwa sasa.

2.Pili kujipendekeza kisiasa kuliko pitiliza baada ya kusoma alama za nyakati huku akitazama Bawa la mama limeelemea upande upi kiuongozi.


3.Muendelezo wa kusifu na kuabudu kama ilivyo ada yake,mtakumbuka enzi za Mwendazake hakuna sifa aliacha toa huku akiitetea serikali iliyopo madarakani hata baada ya uteuzi wake wa waziri wa mambo ya ndani kutenguliwa Kabla ya kuja kurudishwa tena

4.Bado ana ndoto ya Urais,na hapa ndo panapomtoaga akili kabisa hivyo yupo tayari kufanya lolote I'll tu safari yake isijeishia njiani hivyo anaendelea kuvuta attention.


Maoni yangu,Huyu bwana Mwigulu utawala uchoke Sasa kumbeba na kumuonea aibu ikiwezekana atumbuliwe kabisa.

Kwanza IQ yake ndogo sana kiuongozi ktk wizara wizara ya fedha inayohitaji mtu mwenye uwezo wa Hali ya juu.

Pili ni mnafiki wa kiwango cha lami,Hata mama ikitokea bahati mbaya hayuo leo basi ni wazi ataendelea kucheza na fursa tu(KINYONGA) kulingana na mazingira ilimradi aendelee kuteuliwa na kula mema ya nchi hii.


NI BORA CHEO CHA UWAZIRI WA FEDHA KUBAKI WAZI KULIKO KUENDELEA KUA NA MWIGULU,HAAMINIKI KABISA HUYU MTU.
Chawa wa marehemu Jiwe ktk mwendelezo wa sifa akajikuta amepitiliza
 

TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,399
2,000
Asingemtaja ingemsaidia zaidi kisiasa kuliko alivyomtaja wewe pimbi! Ngoja utaona utakumbuka maneno yangu!!!
Tuje tukumbuke maneno gani yako we Asha ngedere!!? Wasukuma na uyo dikteta wenu, Bado hamjahamini tu Kama mzee covid19 imelalanae mbele,

Uyo dikteta kaacha legacy ya kuua na kuteka hafai kukumbukwa kbs
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,765
2,000
Tuje tukumbuke maneno gani yako we Asha ngedere!!? Wasukuma na uyo dikteta wenu, Bado hamjahamini tu Kama mzee covid19 imelalanae mbele,

Uyo dikteta kaacha legacy ya kuua na kuteka hafai kukumbukwa kbs
Hawaamini. na Atawatesa sana. Kila aliyeshabikia maovi ya jiwe atalipa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom