palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
ndugu wana janvi, heshima kwenu!!!
Hivi tuntemeke anafikiria kwa kutumia makalio au unakuwa controlled na limote ya lumumba? Masalia ndo' mtakao mpigia mwigulu magoti na wote wanaowatumia,kwani kazi mliyopewa ya kuivuruga chadema imewashinda. Mbinu zenu zote tumesha zifahamu na sasa mnaambulia aibu tupu. Tuntemeke wafikishie taarifa mwigulu,nape, magamba,na masalia wenzako "chadema kamwe haitayumbishwa na kuvurugwa na propaganda mfu". Subilini majibu 2015.
wale wale waliokula ya mbuzi wakaota mapembe...