mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,191
- 19,117
Hapo mkuu umemaliza! Mkanda ulianzia clouds hiyo tarehe 17/03/2017 kwa uvamizi wa Bashite ukihusisha askari wenye silaha waliowatisha wafanyakazi wa clouds TV, Ukahitimishwa kwa Nape kutishiwa bastola hadharani na watu wa kitengo!kwanza hata kabla hatujaenda mbali lile swala la clouds yeye kama ni waziri analiona lipo sahihi..? kama lipo sahihi iweje hili la nape lisiwe sahihi hlf lile liwe sahihi..? ama ndo kuuma na kupuliza kwa kuogopa meno ya bwana mkubwa!
Yule aliyemwambia mwenzake arudishe bastola uso wake ulionekana vizuri kwenye kamera na anaonekana alikuwa na busara walau! Si wakutafutwa hawa ni wa kumamatwa na mshitakiwa namba moja ni RPC wa kinondoni maana ndiye aliyewatuma na ndiye aliyetoa amri ya kuzuia mkutano kwa mujibu wa yule mfanyakazi wa hoteli.Ukiangalia ile video kuna watu wanne walimfuata nape
1:aliyemtolea bastola
2:alivaa shati jeupe alimuamuru yule jamaa arudishe bastola
3:alivaa Tshirt nyeusi ,jeans na sneaker alifungua mlango wa gari
4:alivaa nguo sare na jamaa aliyetoa bastola
Wote ni polisi na wanajuana mwigulu una tuzuga na je lini atapelekwa mahakamani maana wote wanajulikana ni polisi
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Mkuu, kuku wa kisasa unawajua? Wale ni mfano hai wa hiki unachokiona.
Makuku ya kisasa unaweza kuyarundika hata 40 hapo uwani, ukaanza kuchinja mmoja baada ya mwingine. Hakuna hata kuku moja litakalojiuliza ikiwa na lenyewe litachinjwa, sana sana utaona yakidonoa damu za wenzao waliokwisha katwa makoo.
Ipo siku atakumbuka maneno yako.
Ufalme wa Ufaransa uliondolewa kwa kitu kilichosemwa innocently 'let them eat cake'. Hiyo kauli iliamsha kutokuridhika kulikokuwa kunafukuta chini kwa chini.Ha ha haaa.. eti kama askari kweli.. halafu ukiangalia kwa nyuma kwenye lile jeans last kishamba alikua ameweka pingu mfukoni.
Yaani mtu kabeba Bastola na Pingu, na anafanya yale mbele ya watu wa usalama bado unadai eti huna uhakika.
Yote haya chanzo ni Vyeti feki.View attachment 486633
πππAtakua amezoea kukiangalia angalia kijungu cha Bashite bwana huyo [emoji12] [emoji12]