Mwigulu chupuchupu kukamatwa na Takukuru

Wana JF salam.

Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
 
Mwigulu atawapeleka puta uchaguzi huu......mwishowe ni CDM kuangukia pua kama ilivyo kawaida kwenye chaguzi kama hizi.

njaa mbaya sana. Nikisema huna akili utasema nakutukana. Sasa wacha niseme hayo si maneno ya mtanzania mzalendo. Si kauli ya mtu aliyestaarabika.
 
njoo kesho nipo Akheri, Songoro na Nkoarisambu. Command Post ni USARIVA. NIMEANZA LEO NAZUNGUKA KATA ZOTE NAMALIZA ZIARA AWAMU YA KWANZA KATA ZOTE TAR 11. AWAMU YA PILI NITAANZA KILA KITONGOJI UNIULIZE RATIBA WALA USIPATE TABU
 
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Wana JF salam.

Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
[/FONT]CCM haina mbinu ya kujenga ushawishi wakashinda uchaguzi. Siku zote tunajua CCM ni loosers, hata wewe mwenyewe ulishindwa Iramba. Tunajua wengi mlishindwa lakini mkatangazwa washindi. Arumeru siyo Igunga mazee. Toeni hizo pesa zenu tuzile, kura kwa CDM. Kula kwa CCM Kura kwa CDM
 
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Wana JF salam.

Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

[/FONT]
TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
Tutayajua tu maana kuna hii post nyingine inasema
quote_icon.png
By mgeni wenu
Msimamizi wa Uchaguzi ambae ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru amekiri ofisi hiyo kutumika na kikao cha CCM ambayao ni ofisi ya Serikali ya kata ya Maji ya chai na ameamua kuchukuwa Hatua kali kwa Mtumishi huyo ambae tyr amekiri kosa na kikao ni kweli kilitimka
 
njoo kesho nipo Akheri, Songoro na Nkoarisambu. Command Post ni USARIVA. NIMEANZA LEO NAZUNGUKA KATA ZOTE NAMALIZA ZIARA AWAMU YA KWANZA KATA ZOTE TAR 11. AWAMU YA PILI NITAANZA KILA KITONGOJI UNIULIZE RATIBA WALA USIPATE TABU

haina noma,hapa unatwanga maji kwenye kapu
 
Umepewa kiatu chako ulichoacha?
njoo kesho nipo Akheri, Songoro na Nkoarisambu. Command Post ni USARIVA. NIMEANZA LEO NAZUNGUKA KATA ZOTE NAMALIZA ZIARA AWAMU YA KWANZA KATA ZOTE TAR 11. AWAMU YA PILI NITAANZA KILA KITONGOJI UNIULIZE RATIBA WALA USIPATE TABU
 
kutakuwa na mambo mingi sana, ingine itajulikana kama hilo ingine haitajulikana kama vile ambavyo kuna uwezekano kuwa kuna michezo mingi michafu inafanyika na kwamba mbado haijajulikana inayofanywa na CHICHIEMU.
 
Za madaktari hamna we unazo za kulipa mbele ya Takukuru haya bwana
Wana JF salam.
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
[/FONT]
 
Tupe number ya Vincent Nyerere tumuulize maana we mwongo sana na ninakuja ijumaa huko kazi yangu picha na kukuanika jamvini,si unakumbuka Igunga?
Wana JF salam.
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
[/FONT]
 
Kwa alivyojitetea Mwigulu inaonesaha kabisa alitimuliwa maana Hata Igunga alikuwa anakurupiushwa na anatoa utetezi dhaifu,mtupe ukweli wana Arumeru hiyo ofisi ni ya Chama au serikali,anagalau ushahidi uanze kukusanywa mapema Chezeya Chadema wewe
 
Crashwise.... ile picha ya kina Kaaya na Lema ilikuwa kwenye kikao cha siri??
Mbona inaonekana kama walipozi kabisa uwapige picha?
Pia inaonekana kama Lema alienda kupiga nao picha kwani yeye alisimama wakati wenzake walikaa, looks like aliwafuata akapigwe nao picha.
Una mtindo wa ku-fabricate habari humu, tumekustukia. Kajipange koplo Crashwise!
 
Wana JF salam.

Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
Moses Mashalla na Mussa Juma, Arumeru
WAKATI hekaheka za kuwania ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki zikizidi kushika kasi, wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya Chadema; Rebecca Mgondo na Rose Kamili, wamemshutumu kigogo mmoja wa CCM (jina linahifadhiwa) kutokana na kile wanachodai ameanza mchezo mchafu wa kununua shahada za kupigia kura katika jimbo hilo.

Wabunge hao walitoa tuhuma hizo juzi wakati walipotembelea ofisi za Chadema Kata ya Mbuguni na kudai kuwa kigogo huyo tayari ameshaanza kutembea maeneo mbalimbali kuwashawishi wapiga kura wa jimbo hilo wamuuzie shahada zao.

Kamili alidai kuwa kigogo huyo wa CCM tayari ameshaonekana maeneo ya Tengeru na Usa River akinunua shahada za kupigia kura kitendo ambacho hakivumiliki.

Kamili alisema tayari ameshampigia simu kigogo huyo na kumwonya juu ya mchezo huo akisema hawatakubali kuona vitendo hivyo vinafanyika wilayani Arumeru.

"Nilimpigia simu nikamwambia mwanangu (akamtaja jina), mbona unafanya vitendo hivi? Akanijibu kwamba mama kwa nini hili jimbo msimwachie kijana akaendeleza yale yaliyoachwa na mzee? Hii ni ajabu!" alisema

Alituhumu kigogo huyo kwamba amekuwa akinunua shahada hizo kwa Sh50,000 kwa zile zilizo mikononi mwa wafuasi wa Chadema na Sh5,000 kwa shahada zilizo mikononi mwa wafuasi wa CCM.

Alimshangaa kigogo huyo ambaye ni kijana ndani ya CCM kwa kununua shahada hizo huku akisisitiza kwamba, endapo angekuwa na nia ya kuwasaidia wakazi wa jimbo hilo angetoa fedha hizo kununua vifaa vya hospitali na zahanati mbalimbali zilizopo wilayani humo.

"Jamani hamshangai kama huyu (anamtaja tena jina lake) angekuwa na nia ya dhati kuwasaidia si hizo fedha angenunulia vifaa vya hospitali? Lakini ananunua shahada halafu uchaguzi ukimalizika mnarudishiwa,!" alisema mbunge huyo.

Aliwasihi€wakazi wa jimbo hilo kutokubali kuuza shahada zao kwa kuwa watakuwa wamepoteza haki yao ya msingi ya kupiga kura sanjari na kuuza utu wao.

Takukuru
Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha, Mbengwa Kasumambuto alipoulizwa kuhusu tuhuma hizo alisema hazijamfikia ofisini na kuomba muda ili aweze kuzifuatilia kabla ya kuzitolea ufafanuzi.

Kasumambuto aliwashauri waliotoa tuhuma hizo kufikisha madai yao mbele ya ofisi hizo ili zifanyiwe kazi kuliko kulalamika ovyo.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru, Ole Saivoy alikataa kuzungumzia madai hayo kwa simu.

Chadema msibani
Katika hatua nyingine, wabunge watatu wa Chadema, ambao walikuwa wameambatana na mgombea wa ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, juzi walichafua hali ya hewa baada ya kushiriki katika msiba wa kada wa CCM Viora Gimosa katika eneo la Migungani, Kata ya Mbuguni.
Wabunge hao ambao wameweka kambi katika jimbo hilo ni pamoja na Meneja wa Kampeni, Vincent Nyerere (Musoma mjini), Kamili na Mgodo.
Ujumbe wa wabunge hao, uliwasili msibani hapo mchana, muda mfupi baada ya mwili wa marehemu Gimosa kuwasili kutoka Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru ukisindikizwa na idadi kubwa ya magari ya wachimbaji wadogo wa madini ya tanzanite, Mererani.
Baadhi ya ndugu wa wafiwa na makada wa CCM walianza kuhoji aliyewaalika wabunge hao na mgombea wao kwenye msiba na kujibiwa na kundi la vijana wa Chadema ambali lilisema msibani haalikwi mtu.

Mmoja wa vijana hao, John Ezekiel alisema mgombea huyo wa Chadema, hata kabla ya kuteuliwa kuwania kiti hicho, amekuwa akihudhuria misiba bila kualikwa kwani kwa kawaida penye msiba hakuna mialiko.

Hata hivyo, hali hiyo ilionekana kutowafurahisha baadhi ya wanaCCM ambao walilazimika kumwita mgombea wa ubunge wa CCM, Siyoi Sumari afike kwenye msiba huo lakini jitihada za kumpata kupitia kwa wasaidizi wake zilikwama hadi mazishi yalipokamilika.

"Mimi nilihisi kuwa Chadema watakuja hapa kwani wanajua watu wengi watafika. Nilipiga simu kwa wasaidizi wa Siyoi ili wamlete kabla ya kuondoka chumba cha kuhifadhi maiti na wakaahidi atakuja lakini, nadhani wameshindwa" alisema mmoja wa ndugu wa wafiwa, Hussein Mkodo.

Mkodo ambaye alipata wakati mgumu kutoka kwa baadhi ya viongozi wa CCM kutokana na kutuhumiwa kuhusika kumwita mgombea wa Chadema, alilazimika kujieleza mara kadhaa kwa makada wa CCM kuwa yeye si Chadema na kwamba ni CCM damu.

"Mimi ni mwanachama hai wa CCM , Arusha wote wananijua na ndiyo sababu sielewani hata na Lema (Mbunge wa Arusha Mjini) kwa kuwa mimi nilikuwa namuunga mkono Dk Batilda Burian wakati wa uchaguzi uliopita," alisema Mkodo.

Wakizungumza katika eneo hilo la msiba, Diwani wa Mbuguni (CCM), Thomas Mollel maarufu kama Askofu na Diwani wa Mererani Mererani (CCM), Justin Nyari, waliwasihi wanaCCM waliofika hapo kutokuwa na hofu juu ya ujio wa Nassari kwani wana uhakika msibani hakuna kura za kumpa ushindi.

Mollel ambaye ni mfuasi mkubwa wa Siyoi alisema haikuwa rahisi kwa Sumari kufika katika msiba huo kwani alikuwa amechukua fomu asubuhi.
"Jamani Sumari amechukua fomu leo tu na mnajua kuna taratibu za kutafuta wadhamini na kujaza fomu na kurejesha, hawezi kufika hapa, mimi nimemwakilisha," alisema Mollel.

Wabunge hao wa Chadema, walikaa msibani na kushiriki mazishi hayo ambayo yalifanyika katika makaburi ya kijiji hicho.
 
Kobelo mbona mwigulu kakiri kuwepo kikao na mkurugenzi pia? This is not Fabricated,huyu Crashwise yaelekea anajua matukio vilivyo na pengine ni TISS
Crashwise.... ile picha ya kina Kaaya na Lema ilikuwa kwenye kikao cha siri??
Mbona inaonekana kama walipozi kabisa uwapige picha?
Pia inaonekana kama Lema alienda kupiga nao picha kwani yeye alisimama wakati wenzake walikaa, looks like aliwafuata akapigwe nao picha.
Una mtindo wa ku-fabricate habari humu, tumekustukia. Kajipange koplo Crashwise!
 
Crashwise.... ile picha ya kina Kaaya na Lema ilikuwa kwenye kikao cha siri??
Mbona inaonekana kama walipozi kabisa uwapige picha?
Pia inaonekana kama Lema alienda kupiga nao picha kwani yeye alisimama wakati wenzake walikaa, looks like aliwafuata akapigwe nao picha.
Una mtindo wa ku-fabricate habari humu, tumekustukia. Kajipange koplo Crashwise!
Hivi kupose ili upigwe picha ni ku fabricate au labda sijui maana ya ku fabricate.
 
Wana JF salam.

Nimeiona thread hii kama inavyosomeka. Naomba kuweka sawa kuwa mtoa maada hana taarifa sahihi. Mimi sujakimbia wala kukimbizwa wala kuonana na TAKUKURU. PIA SIJAFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA SERIKARI BALI NIMEFANYA KIKAO NA MAKATIBU, WENYEVITI WA CCM MATAWI NA MABALOZI.

KUHUSU VIONGIZI WA CDM SIO KWAMBA WALIKUJA PALE NA TAKUKURU BALI MIMI NILIWAKUTA WAKIWEPO MH VINCENT NYERERE NILUPOFIKA TUKASLIMIANA WAKAONDOKA WAKANIACHA NDIO NIKAANZA KIKAO CHANGU. KILICHOTOKEA WALIAMBIWA KUNA WANA CCM WANAFANYIA KIKAO KWENYE OFC YA SERIKALI NDIO WAKAENDA ILI WAHAKIKI WAPATE KITU CHA KUKATA RUFAA BAADA YA MATOKEO. WALIPOFIKA WAKAELIMISHWA KUWA HIYO NI OFC YA CCM NAMI NDIO NIKAFIKA TUKASALIMIA NA MH NYERERE PEACE KABISA AKAONDOKA.

SASA NAFANYA KIKAO CHA WANANA CCM NIKIMBIE NINI HATA KAMA NILIKUWA NA HELA NIKIMBIE NINI MBONA TAR MOJA NILILIPA KIKAO CHOTE WAJUMBE NA TAKUKURU WALIKWEPO NDANI NA HIYO NI STAHILI YA WAJUMBE. WANA JF POSHO YA KIKAO YA KIKATIBA HUTOLEWA KWA MJIBU WA KATIBA HAIKOMI WAKATI WA UCHAGUZI.

TUSITAFUTE VISINGIZIO TUTAFUTE PANADOL ZA KUPUNGUZA MAUMIVU MAANA NDIO HIVYO YAMEANZA POLEPOLE. TUNA IMANI CCM INASHINDA
But watu wameshuhudia ukikimbia!!;
 
Back
Top Bottom