Mwigulu Awapongeza Wamasai

Mwigulu Awapongeza Wamasai

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
[h=5]Katika facebook yake Mwigulu ameandika kwa unafiki yafuatayo. Nasema unafiki kwa sababu huwezi kuitenganisha serikali ya CCM na CCM yenyewe.

Nawashukuru sana WAFUGAJI WENZANGU WA LOLIONDO KWA KUNISIKILIZA, KUNIAMINI NA HATIMAYE KUSITISHA MPANGO WA KUVAMIA ENEO LENYE MGOGORO. TUMECHUKUA HOJA ZENU KWA UZITO UNAOSTAHILI.
[/h]
 
Huyu nijini,na nizoba tu,anafikiri uongozi ni ulimbembele!!na ubabe wake utakoma siku moja wapo walio kua gumzo la dunia ila mwisho wao ulikua wa aibu.mwigulu nenda mdogo mdogo ccm sio baba yako na hukuianzisha wewe unapita tu.
 
Mbona hasemi hili zigo ameshamkabidhi Kinana na Jakaya
attachment.php
 
. Mwigulu Nchemba mfugaji? unatumia facebook kufikisha ujumbe kwa wafugaji wa jamii wa kimasai? wonders will never End,
wewe kweli msukuma bandia..
 
Last edited by a moderator:
Mbona hasemi hili zigo ameshamkabidhi Kinana na Jakaya
attachment.php
kijana alwayz hanakabisa strategic plan za njisi ya kuhudumia wananchi kama naibu wa katib mkuu... but kwakua upenda sifa bada ya kazi namuachia tu munguu....( Kama familia yako tu imekushinda ku manage iweje familia ya jirani yako uweze kuishauri by frema 120 08/04/2014.)
 
Huyu nijini,na nizoba tu,anafikiri uongozi ni ulimbembele!!na ubabe wake utakoma siku moja wapo walio kua gumzo la dunia ila mwisho wao ulikua wa aibu.mwigulu nenda mdogo mdogo ccm sio baba yako na hukuianzisha wewe unapita tu.
You are righ pal
 
Dr Kitila Mkumbo atamaliza habari yake 2015. Huyu bwana akimsikia hapati usingizi.
 
lile zigo la kadi za kijani mbona hasemi kamwachia nani??
 
Ameandika hivyo facebook ili tusijue namna alivyozomewa na wanakijiji.
Wamasai sio wajinga kama ccm wanavyosema.

'I stand with Maasai'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwizi mkubwa na muaji hakika lazima tumuaibishe, daima watz wa leo ni c wale wa 1990, wanajua uozo wa ccm daima.
SHAME UPON YOU OLESENDEKA NA LEKULE LAIZA HAWA NDIO WASALITI WA WAMASAI NA WATZ KWA KUJIPENDEKEZA NA HAO WAUAJI WA CCM.Ktk facebook mimi nimeona unafiki mkubwa kwa kutuma huu ujumbe , shame upon MWIGULU MZIZI, peleka uzinzi nyumbani kwako.
 
Kumbukeni haya maneno yametungwa na wapambe,nadhani sikumbuki ile sura yake ilifananaje jana baada ya kuwaona wale wamasai pale na fuko la kadi,alikasirika ile mbaya,akatamani apate mtu wa kumsingizia.........................Mheshimiwa spika hawa chadema ni................... alikosa hata maji ya kumeza kwa jazba.
Chezea siasa wewe.
 
Mwigulu is a leader na anajua kuongea na watu. Tofauti na ilivyotarajiwa wamasai walibadilika na kushusha hasira
 
Mwizi mkubwa na muaji hakika lazima tumuaibishe, daima watz wa leo ni c wale wa 1990, wanajua uozo wa ccm daima.
SHAME UPON YOU OLESENDEKA NA LEKULE LAIZA HAWA NDIO WASALITI WA WAMASAI NA WATZ KWA KUJIPENDEKEZA NA HAO WAUAJI WA CCM.Ktk facebook mimi nimeona unafiki mkubwa kwa kutuma huu ujumbe , shame upon MWIGULU MZIZI, peleka uzinzi nyumbani kwako.

Olesendeka alipiga mzinga pale Old Moshi
 
mwigulu acha kujiongezea maadui, hujamalizana na chadema unaanza tena kwa mh.kagasheki!! hujui kuwa kauli ya waziri ni kauli ya serikali? wewe humjui kagasheki muulize yule meya wa bukoba!.
 
mwigulu acha kujiongezea maadui, hujamalizana na chadema unaanza tena kwa mh.kagasheki!! hujui kuwa kauli ya waziri ni kauli ya serikali? wewe humjui kagasheki muulize yule meya wa bukoba!.

Mwigulu ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na naibu hivyo ni sahihi kuhoji kauli ya waziri yeyote
 
[h=5]Katika facebook yake Mwigulu ameandika kwa unafiki yafuatayo. Nasema unafiki kwa sababu huwezi kuitenganisha serikali ya CCM na CCM yenyewe.

Nawashukuru sana WAFUGAJI WENZANGU WA LOLIONDO KWA KUNISIKILIZA, KUNIAMINI NA HATIMAYE KUSITISHA MPANGO WA KUVAMIA ENEO LENYE MGOGORO. TUMECHUKUA HOJA ZENU KWA UZITO UNAOSTAHILI.
[/h]
.
Jamani wadau hivi hizi camera Za siku hizi zikoje? Zinazungusha watu ovyo ovyo, ona maskini wengine wanaangalia huku KWETU wengine Kule nyume, wengine au kulikuwa Na majukwaa mengi so kila kundi linageukia kivyake? Au mambo ya photoshop?
 
Wamasai wafugaji na facebook ni kama mbingu na ardhi. Mara nyingi wanakuwa porini na huko hakuna mtandao wa internet, kwahiyo sidhani kama hizi shukrani za kinafiki zimefika kwa walengwa.
 
.
Jamani wadau hivi hizi camera Za siku hizi zikoje? Zinazungusha watu ovyo ovyo, ona maskini wengine wanaangalia huku KWETU wengine Kule nyume, wengine au kulikuwa Na majukwaa mengi so kila kundi linageukia kivyake? Au mambo ya photoshop?

Sikuwa nimeigundua, lakini naona unachosema ni kweli bhana!
 
Back
Top Bottom