Mwigulu Awapongeza Wamasai

Mwigulu Awapongeza Wamasai

Katika facebook yake Mwigulu ameandika kwa unafiki yafuatayo. Nasema unafiki kwa sababu huwezi kuitenganisha serikali ya CCM na CCM yenyewe.

Nawashukuru sana WAFUGAJI WENZANGU WA LOLIONDO KWA KUNISIKILIZA, KUNIAMINI NA HATIMAYE KUSITISHA MPANGO WA KUVAMIA ENEO LENYE MGOGORO. TUMECHUKUA HOJA ZENU KWA UZITO UNAOSTAHILI.

Hii picha ina utata mbona huyu jamaa alievaa bendera ya taifa anaonekana kama kabandikwa kwenye hii picha,yeye ana umbo kubwa kuliko hao wengine,yeye haangalii wanako angalia wengine,computer sio mchezo inaeza kufanya mambo mengi
 
Kweli mkuu, observation yako ni ya msingi, haieleweki waliopigwa picha walikuwa wameangalia wapi kila watu wako kivyao. Ama kweli jahazi linazama ukiona hadi picha inabidi zipitie photoshop kurekebisha mambo.... si mchezo!
 
Hahaha umeona eeeee,Photoshop imefanya kazi hapo ,hata ukiwa sio mjuzi wa computer utaona kasoro,huyuo jamaa haendani na mazingira ya hiyo picha, sasa tuseme anamdanganya nani?? kama sio yeye mwenyewe?? watanzania wameamka sasa hawadanganyiki 🙂
 
Back
Top Bottom