BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,106
Wanasias wetu wao ni maajabu tu! Badala kukomaa na serikali yao itekeleze ilani na kuwakomboa wananchi wao wamekazana na mishikamano ndani yao!!!
Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.
............kaka kumbuka CCM ndicho chama kilichoshika Dola na kinaisimamia serikali katika kutekeleza majumuku ya kila siku kupitia ilani yake, ccm ikiyumba, serikali itayumba pia (kwa lugha rahisi haitakuwa imara)Wanasias wetu wao ni maajabu tu! Badala kukomaa na serikali yao itekeleze ilani na kuwakomboa wananchi wao wamekazana na mishikamano ndani yao!!!
............kaka kumbuka CCM cdicho chama kilichoshika Dola na kinaisimamia serikali katika kutekeleza majumuku ya kila siku kupitia ilani yake, ccm ikiyumba, serikali itayumba pia (kwa lugha rahisi haitakuwa imara)
Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.
Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.
Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.
Akiongea kwa upole na sauti ya unyenyekevu mkubwa na wananchi wa Ndago na vijiji vya jirani kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi-CCM (Bara), Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) pamoja na mambo mengine alitumia muda wake alipopanda jukwaani kusisitiza mshikamano ndani ya Chama cha Mapinduzi-CCM; Wakati Nchemba akisisitiza mshikamano Mbunge wa Jimbo la Mtera na rafiki yake mkubwa Mh. Livingstone Lusinde (aka Msumari wa Moto) aliyeambatana na Mh. Mwigulu aliwataka wananchi wa Iramba kutoipoteza lulu yao (Nchemba) kwa sababu ni zawadi kutoka kwa Mungu, wakati Mwigulu amejikita kutoa misaada kwenye mashule na taasisi mbalimbali, alikemea watu wanaobeza juhudi hizo ili hali wao wanawajengea wananchi vilabu vya pombe.
Source, mimi mwenyewe
Ilani ipi hiyo mkuu?Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.
Na hizi ahadi za JK?Wewe unaishi dunia gani? Ilani imekamilika kwa zaidi ya asilimia 65 katika miaka miwili.