Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
Acha kujipendekeza watu wepi....wamemsifu.Karibu Jamvini kama ndo wewe..kwa kale kamchezo ka Igunga nadhani wanaJF wote wanatahadhali ya kutosha!
Tunaomba Arumeru endesheni siasa za kistaarabu,watu wamekusifu sana hapa jamvini kuwa una brain kali,sasa itumies kudisplay high intellectual maturity,Tanzania ni nyetu sote.
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
ulifungua kikao kipi?Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Ngoja tumwambie Beatrice Shelukindo upo huku JF akuibukie ili huku nako upotee ingawa tunatamani uzidi kuwepo.Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
Hujajibu hoja: ulikwenda Arumeru kama nani na kufanya nini? Kuwa makini kijana...Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Mwigulu heshima yako,Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake
Vipi mheshimiwa na ile tabia yako ya kumendea wake za makada wa chama chako kwa kisingizio cha kampeni umeachana nayo? Kama utaiendeleza Arumeru, ni bora ukatayarisha sanda yako kabisa ya kukuzikia.Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Msije baadae mkakana kwamba huwa humuingiagi JF na wala hamuitambui. Maana alianza ndugu yako Nape na tunategemea ndivyo itakavyokuwa kwako bwana Said Bagaile.Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
Mkuu Kigwangalla, kwanza habari yako vipi na wewe uko kwenye list ya madame ya kuachia ubunge?Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
Kujiunga kwa Mwigulu hapa ndani ya JF na hivyo kuleta wabunge wengi zaidi ni dalili nzuri sana na kwa mbaali mwanga wa mabadiliko unaanza.
Nafikiri wengi mnakumbuka miaka kadhaa watu walitishiwa kufukuzwa kazi kwa kusoma JF ila sasa naona imeshakuwa historia kwani viongozi vijana (bila kujali wapo upande gani) wameanza kuingia hapa moja kwa moja kwa majina yao.
PJ, muache kwanza mgeni basi azowee maana hayo maswali yatakuja baadaye. Mwigulu Nchemba, karibu sana.
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake