Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,176
Reaction score
48,460
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
 
Acha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubunge
 
Alikua na dharau sana huyu Jamaa akiwa waziri!
Nilihuzunika sana majibu yake kipindi cha suala la Abdul nondo.

Yeye na mwenzie Nape nadhani tuwahifadhi kama case study ya Vijana wetu hapo baadae!

Hivi lile skafu lake la bendera ya taifa bado anavaa?
 
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa

Mada haina mvuto. Wote wawili, mzee madevu savimbi na mpayukavu kitila, hawana tija. Ni wachumia tumbo. Kuwakosa wote wawili ni baraka zaidi.
 
Acha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubunge
Nilikuwa Iramba na kujionea jinsi Kitila anavyopiganiwa na Ngazi za juu za CCM dhidi ya Mwigulu.
 
Kamanda Kilewella utaacha lini hii tabia yako ya Uongo, Uzandiki na kupotosha Umma!? Yaani mpaka Aibu wanaona watoto wako!
Niko Ikungi kikazi. Mara 100 ungesema mkakati ni wa kumuondoa Tundu tunduni Ikungi.
Asubuhi ya leo nilikuwa Doromoni na Kisana. Nimefika Ndago, mgongo na kulala Kiomboi kwa zaidi ya wiki. uongo wangu uko wapi?

Wewe mara mwisho kufika Kinambeu au kisiriri ni lini?
 
1549544141208.png
 
Kitila mkumbo watu wa huko hawampendi wanamuita msaliti kwa kile alichoifanyia chadema (kwao panaitwa mtekente) akipatikana mpinzani mwenye nguvu anashinda.

Mwigulu ni muhongaji hana jimbo lake ni masikini ajabu, vikao vya halmashauri yao ni vya kujipenda wao tu madiwani wanakula pesa za umma hawafanywi lolote.

Mkuu yule wa wilaya nimefanya nae kazi kabla ni mpigaji mkubwa
 
Nakukumbusha pia ukumbuke alivyodeal na ile issue ya viroba vyenye miili ya watu
 
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Hawana mtu mwingine kuchukua hilo jimbo? I wote wanafiki hao.. Tena mwigulu ndio kazidisha unafiki maradufu tangu atumbuliwe. Mtu ambaye siasa haitamtupa ni Nape. Anajitahidi Sana kusimamia anachokiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom