Mwigulu afanya igizo la msafara wake kusimamishwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,974
114,281
Huko mkoani Mbeya msafara wa Mwigulu "umesimamishwa".Mfasara huo "haujasimamishiwa" barabarani.Ni kwenye eneo la ofisi ya kijiji.Hili ni technical mistake tu,lakini ilitakiwa usimamishwe barabarani.Kwa bahati mbaya sana katika wizara yake ikakosekana sababu ya kusimamishiwa,ikabidi ziletwe sababu za migogoro ya ardhi ambayo kimsingi ni issue ya wizara ya ardhi......Mwigulu safi sana nawe umesimamishwa kama Magufuli
 
Hahahahah nimeangalia habari nikawa na maswali lukuki ikiwemo inakuaje MTU aliyesimamishwa anahutubia ktk mazingira ambayo ni wazi kabisa yamepangwa na kuandaliwa? Mkutano kabisa ktk ofisi za kijiji unasema msafara umesimamishwa?

Hawa mawaziri wanatambua kuwa muda unasonga na tutahitaji mahesabu mezani baada ya muda?
 
kasimamishwa msafara uku
-wako itv
-wako askari
-yako maandalizi ya meza nk
-wako watu wa rika mbali mbali (kwaiyo walijua anasafiri siku iyo)
Kusimamishwa ghafla kwa nchi yetu maanake ni tukio lililo andaliwa.
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
 
Wazir aliyekuwa anatamba kwa kuwatafuta waliozamia nchin bila vibal amepotelea wapi mbona siku izi zimsikiii adi na jina nimemsahau sasa na mafanikio kwa zoeZ lake yamefikia wapi??
 
Heee ametisha aisee vipi Yale yaliyoandikwa 2015 for presidential full of imitation in this nation. Kijiji gani wadau?
 
Hahahahah nimeangalia habari nikawa na maswali lukuki ikiwemo inakuaje MTU aliyesimamishwa anahutubia ktk mazingira ambayo ni wazi kabisa yamepangwa na kuandaliwa? Mkutano kabisa ktk ofisi za kijiji unasema msafara umesimamishwa?

Hawa mawaziri wanatambua kuwa muda unasonga na tutahitaji mahesabu mezani baada ya muda?

Aliyesema kuwa msafara umesimamishwa ni MWIGULU au ni mwandishi wa habari? Tuwe wakweli na makini katika uchambuzi wa mambo. Tusiwawekee maneno mdomoni mwa baadhi ya watu.
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Ndugu, binafsi nimemtafuta mhusika mmoja wapo kumuuliza akasema huo mkutano uliandaliwa before na Mwigulu alijua juu ya jambo hilo...

Mkutano wa kusimamishwa barabarani bila kuwa na taarifa na ghafla hauwezi kuwa vile....

Mwisho naungana na hiyo sentensi yako ya mwisho kuwa tunataka tija na si maigizo!!!
 
Tangu safari za nje zipigwe marufuku na Uncle Magu, Mawaziri wanatembea nchi nzima sasa. Na wao wanagombea vi-cheque vya perdiem kwa ma-cashier wao. Hawakai ofisini!! Kama Makame Mbarawa ndio anasafiri peke yake pale Wizarani utadhani hana manaibu. Tusubiri output sasa
 
Aliyesema kuwa msafara umesimamishwa ni MWIGULU au ni mwandishi wa habari? Tuwe wakweli na makini katika uchambuzi wa mambo. Tusiwawekee maneno mdomoni mwa baadhi ya watu.
Hoja yako ni nini hasa?
 
Huko mkoani Mbeya msafara wa Mwigulu "umesimamishwa".Mfasara huo "haujasimamishiwa" barabarani.Ni kwenye eneo la ofisi ya kijiji.Hili ni technical mistake tu,lakini ilitakiwa usimamishwe barabarani.Kwa bahati mbaya sana katika wizara yake ikakosekana sababu ya kusimamishiwa,ikabidi ziletwe sababu za migogoro ya ardhi ambayo kimsingi ni issue ya wizara ya ardhi......Mwigulu safi sana nawe umesimamishwa kama Magufuli
Akili zitakurudia siku ukitupa fulana za "malofa na wapumbavu katika ubora wao"...technical mistake?..
 
Mtakuwa NA chuki hadi Kuzimu
Ukweli ndio huo
Hampendi au kinawauma Hameni nchi
 
Kwani yeye ndiye amesema amesimamishwa na wananchi au vyombo vya habari vimesema amesimamishwa na wananchi?

Kama vyombo vya habari ndivyo vilivyosema, kwa nini unatoa lawama kwa Mwigulu?

Kwenye tasnia ya habari, don't blame the master, blame the messenger!
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Chuki zikizidi
Unaweza kuichukia had I sura yako mwenyewe

Safi sana mkuu
 
We are all politicians. Kama Mwanasiasa ukisimamishwa si unaweza kutafuta eneo ili msikilizane vyema na wananchi?

Ni ustaarabu wa kawaida tu sema itakua tatizo ikiwa Mwigulu hatashughulikia aliyowaahidi.Atawavunja moyo wananchi na kuivua nguo serikali yake.
Nowadays ur so positive.....u getting matured....... In the future ull be like mwami
 
Back
Top Bottom