Mwigizaji wa Ghana

Mwigizaji wa Ghana

Mimi naoa miaka sita ijayo utakua umekua kua kwangu haina tabu sina haraka na wewe



thank u mshana jr nitakupa buku shing tano

Hg umeshindwa kumtimizia mke utamweza kwelii......???wapileo Mpwa tumeet kalabash basi nina per dieM za uhuru zinaniwasha
 
Last edited by a moderator:
Ana bima kwanzawatukama hawa kuingia kichwa nduguwatakosa hatjeneza la saiziyako...awe na bima akinigonga najua hatajeneza Ndugu awaangaiki
Na iwe bima ya compre..........
 
Kinaweza kukatika vipande viwili.

Upande mmoja kivyake na kiwiliwili kivyake
 
Kwanza hebu compare kwanza miguu kama nilivyo duarisha hapo, pile check color ya tumbo na other parts haimatch, pia chek kwenye duara la kiunon kama kuna portion imeongezwa,
mengine endleea kuangalia amekaa kama kilema hiv

Hiyo ni belt amevaa, wanaziita sliming belt ila ni wizi tu hauwezi kukonda kwa kujibana viungo, ukivua nyama zote ziko pale pale. Na chini amevaa suruali kwenye hiyo picha uliyozungushia miguu! aangalia vizuri
 
Hata kwani najua basi?

Ndo hizo basi celebrities wengi huvaa hizo wakiwemo wa majuu zinamfanya mtu anakua na kashape kama huyo mdada ila zinabana sana inatakiwa uvumilivu. Ila hata watu wa kawaida wanavaa wenyewe huziita sexy corset
 
Ndo hizo basi celebrities wengi huvaa hizo wakiwemo wa majuu zinamfanya mtu anakua na kashape kama huyo mdada ila zinabana sana inatakiwa uvumilivu. Ila hata watu wa kawaida wanavaa wenyewe huziita sexy corset

Mimi ndo maana ugonjwa wangu kuku wa kienyeji! Unapata kitu halisi mpaka harufu
 
Back
Top Bottom