Mwigizaji wa Ghana

Mwigizaji wa Ghana

Bado sijaona! Ile ni originale hii ni fekelo ya sliming belt

Wanawake tuna matatizo sana...
Hiyo belt niliwahi vaa siku moja (nilipojifungua) mziki wake si wa kitoto...
Juzi nimeona discussion kuwa zinaweza au zina madhara ...na wameongelea zinaharibu maini, sijui figo sijui nini...
Hata mimi naweza kukubali...wewe ubane tumbo hivyo maini yapone?
 
Afu kweli waghana wengi wana sura nzito...
Ila kuna na wazuri kama Ivon ...ila ndio nao hawataki waghana wenzao lol...wanaenda Nigeria...
Hii tabia ya kujidharau hii...

Nilisikia mpaka kuna ma agent wa kuuza mbegu za kiume za kizungu...watu wanataka chotara ...hata walio kwenye ndoa...these people are crazy...
 
Not only crazy but very very stupid
 
Back
Top Bottom