Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Ubunge si kazi! Ukikaa kimya sawa, maadamu ujue tu kuitikia ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Unapewa posho yako ya kikao unaondoka. Maana imedhihiri kama huna hoja basi tukana.
Si hii tu, pia kama hauna hoja basi unaleta hoja za kijinga kama vile kwanini wasanii wa kike waruhusiwe kuvaa chupi wakati wa ku act., wabunge wote....Yeaaaaah mwanangu, mwaga sera huku posho inaingia na usiku unakwenda saka machangu mujini. Unachapa weeeeeee, na kesho yake unakacha bunge. Siku ukienda bungeni unalalamika posho haitoshi. Ukiugua ugonjwa wa kuhara, mambo yote India. Hii ndiyo Tanzania.