Mwigizaji JB apanga kugombea ubunge mwaka 2015...

maendeleo kwa jamii yanaletwa na ubunge?....aseme anataka fedha kupitia ubunge. ila bunge litajaa vilaza, si nasikia hata wema anataka ubunge,,,ee mungu tunusuru!

Nafikiri wanakwenda kujaza nafasi za usanii zilizo wazi kwani kundi la mipasho tayari tunalo ila kada ya Mwigulu ndiyo ninayoiona kama bado ina mapungufu.

Karibuni jamvini ili tuongeze production ya Bunge Movies.
 
Kwa habari nilizosikia muda si mrefu.. mwanamuziki maarufu Diamond Platinum ana mpango wa kugombea ubunge Kigamboni....
 
View attachment 90154
Mwigizaji anayependwa sana na mwenye mwili wa kipekee kwenye bongo movies Jacob Steven, ama JB kama anyofahamika kwa wapenzi wake, ameongea na bongomovies.com na kuelezea mpango wake wa kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2015.

Katika interview fupi iliyofanyika maeneo ya leaders jijini Dar es salaam leo, JB alisema angependa kuwakilisha wananchi kwani kupitia sanaa ameweza kujifunza matatizo mengi yaliyopo kwenye jamii na anahitaji nafasi ili ayafanyie kazi.

Alipoulizwa na mwandishi wa habari hii ni kwanini amepata wazo hilo saivi JB alisema kuwa amewahi kushiriki kwenye shughuli nyingi sana za kampeni kama “manager” wa kampeni za wabunge mbalimbali na kupata uzoefu wa siasa na pia karibu wote waliweza kupita kwenye nafasi hizo na sasa anaona ni wakati wake yeye kuwawakilisha wananchi bungeni.

Na alipoulizwa kuhusu suala la chama na sehemu anayopanga kuiwakilisha JB alisema, “kwa sasa siwezi kuweka wazi kuhusu chama na sehemu nayotaka kugombea ubunge, ila wapenzi wangu wakae tayari na wajue mipango yangu kama mwigizaji na mtu anayependa mandeleo kwa jamii”

Kwangu mimi namuona kama mnafiki pale anaposhindwa kujiweka wazi ni wapi na chama gani atagombea hutakiwi hata siku moja kificha wala kohofia kuiweka misimamo yako ya kisiasa wazi kama wewe ni mwanasiasa wa kweli maana kufanya hivyo ni ama ujiamini au muoga ukilingashisha kutoka sasa na 2015 si mbali na hapa anajionyesha wazi hata jimbo(sehemu) anayotaka kugombea ajapanga mikakati yake yake maana kama maandalizi yanaanza sasa mfano mzuri amuangalie Sugu(Joseph Mbilinyi) asifikiri alipata ubunge kwa umaarufu wa jina tu alijikita mapema mbeya kimaandalizi na tulilijua hilo mapema kabisa
 
Inafaa coz kwa hali ilivyo ni commedy tupu kina masanja na joti pia waonyeshe nia
 
Ubunge siku hizi hauna heshima wala thamani hadi kila mhuni anadhani anaweza kuwa mbunge. Akichaguliwa jua basi watanzania wanazidi kujichimbia shimo.
View attachment 90154
Mwigizaji anayependwa sana na mwenye mwili wa kipekee kwenye bongo movies Jacob Steven, ama JB kama anyofahamika kwa wapenzi wake, ameongea na bongomovies.com na kuelezea mpango wake wa kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2015.

Katika interview fupi iliyofanyika maeneo ya leaders jijini Dar es salaam leo, JB alisema angependa kuwakilisha wananchi kwani kupitia sanaa ameweza kujifunza matatizo mengi yaliyopo kwenye jamii na anahitaji nafasi ili ayafanyie kazi.

Alipoulizwa na mwandishi wa habari hii ni kwanini amepata wazo hilo saivi JB alisema kuwa amewahi kushiriki kwenye shughuli nyingi sana za kampeni kama “manager” wa kampeni za wabunge mbalimbali na kupata uzoefu wa siasa na pia karibu wote waliweza kupita kwenye nafasi hizo na sasa anaona ni wakati wake yeye kuwawakilisha wananchi bungeni.

Na alipoulizwa kuhusu suala la chama na sehemu anayopanga kuiwakilisha JB alisema, “kwa sasa siwezi kuweka wazi kuhusu chama na sehemu nayotaka kugombea ubunge, ila wapenzi wangu wakae tayari na wajue mipango yangu kama mwigizaji na mtu anayependa mandeleo kwa jamii”
 
Bahati mbaya wananchi wengi tunajadili mambo mepesi kiasi kwamba baadhi ya wananchi wanadhani wanafaa kuongoza hasa kwenye Uongozi "mpana".
 
Ubunge siku hizi
hauna heshima wala thamani hadi kila mhuni anadhani anaweza kuwa mbunge.
Akichaguliwa jua basi watanzania wanazidi kujichimbia shimo.

JB ni msomi na mstaarab hawezi kuwa muhuni kama Sugu, kumbuka alivyowatukana clouds matusi ya nguoni
 
Yangu masikio na macho tu - MKUU wa kaya akiwa dhaifu kila mtu atataka awe mtawala kwa nafasi yoyote ile.
 
Tupate CV ya JB
Si hii tu, pia kama hauna hoja basi unaleta hoja za kijinga kama vile kwanini wasanii wa kike waruhusiwe kuvaa chupi wakati wa ku act., wabunge wote....Yeaaaaah mwanangu, mwaga sera huku posho inaingia na usiku unakwenda saka machangu mujini. Unachapa weeeeeee, na kesho yake unakacha bunge. Siku ukienda bungeni unalalamika posho haitoshi. Ukiugua ugonjwa wa kuhara, mambo yote India. Hii ndiyo Tanzania.
 
Hawa si watendaji ni wawakilishi wa wananchi na wananchi huwezi kuweeka vigezo vingi vya haki ya mtu vya uraia
Mkuu Ben Siku hizi hata mtendaji wa kata hawezi kuajiliwa na serikali kama hajamaliza form four. Uraisi/Ubunge/Udiwani ndo vyeo peke hapa tanzania ambavyo huitaji kua na elimu zaidi ya kujua kusoma na kuandika. Kwa nini vyeo hivi muhimu sana katika maamuzi ya maendeleo ya nchi hii visiwe na sifa maalumu?
 
kama unaona yeye hafai gombea wewe! mbona wabunge wenye upeo mdogo sana wamejaa kule bungeni sioni tofauti tena nadhani kwa uwezo wake anaouonyesha kama msanii na heshima aliyonayo katika jamii anaweza kuwa mbunge mzuri kuliko wakina Nchemba, Lusinde na wengine wa aina yao! kaka nenda kikubwa sera na sababu ya kugombea, uwe na wito. i wish all the success, go for it other made it (SUGU) WHY NOT YOU
 
View attachment 90154
Mwigizaji anayependwa sana na mwenye mwili wa kipekee kwenye bongo movies Jacob Steven, ama JB kama anyofahamika kwa wapenzi wake, ameongea na bongomovies.com na kuelezea mpango wake wa kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2015.

Katika interview fupi iliyofanyika maeneo ya leaders jijini Dar es salaam leo, JB alisema angependa kuwakilisha wananchi kwani kupitia sanaa ameweza kujifunza matatizo mengi yaliyopo kwenye jamii na anahitaji nafasi ili ayafanyie kazi.

Alipoulizwa na mwandishi wa habari hii ni kwanini amepata wazo hilo saivi JB alisema kuwa amewahi kushiriki kwenye shughuli nyingi sana za kampeni kama “manager” wa kampeni za wabunge mbalimbali na kupata uzoefu wa siasa na pia karibu wote waliweza kupita kwenye nafasi hizo na sasa anaona ni wakati wake yeye kuwawakilisha wananchi bungeni.

Na alipoulizwa kuhusu suala la chama na sehemu anayopanga kuiwakilisha JB alisema, “kwa sasa siwezi kuweka wazi kuhusu chama na sehemu nayotaka kugombea ubunge, ila wapenzi wangu wakae tayari na wajue mipango yangu kama mwigizaji na mtu anayependa mandeleo kwa jamii”

Apeleke masaburi yake huko...
 
Tatizo ni kuwa watu welevu na wenye weledi wa kiuongozi wanaogopa siasa matokeo yake ni kutawaliwa au kuongozwa na watu wepesi wepesi kama huyu JB. Japo siasa ni suala nyeti sana kuwaachia wanasiasa peke yao, lakini uongozi ni suala zito zaidi kufikiria kila mtu anaweza kulifanya.
 
View attachment 90154
Mwigizaji anayependwa sana na mwenye mwili wa kipekee kwenye bongo movies Jacob Steven, ama JB kama anyofahamika kwa wapenzi wake, ameongea na bongomovies.com na kuelezea mpango wake wa kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2015.

Katika interview fupi iliyofanyika maeneo ya leaders jijini Dar es salaam leo, JB alisema angependa kuwakilisha wananchi kwani kupitia sanaa ameweza kujifunza matatizo mengi yaliyopo kwenye jamii na anahitaji nafasi ili ayafanyie kazi.

Alipoulizwa na mwandishi wa habari hii ni kwanini amepata wazo hilo saivi JB alisema kuwa amewahi kushiriki kwenye shughuli nyingi sana za kampeni kama “manager” wa kampeni za wabunge mbalimbali na kupata uzoefu wa siasa na pia karibu wote waliweza kupita kwenye nafasi hizo na sasa anaona ni wakati wake yeye kuwawakilisha wananchi bungeni.

Na alipoulizwa kuhusu suala la chama na sehemu anayopanga kuiwakilisha JB alisema, “kwa sasa siwezi kuweka wazi kuhusu chama na sehemu nayotaka kugombea ubunge, ila wapenzi wangu wakae tayari na wajue mipango yangu kama mwigizaji na mtu anayependa mandeleo kwa jamii”

hapo kwenye red ni nutafiti gani umefanya au amekutuma by the way mwambie awakomboe kwanza wenzake wa bongo movie iliu wasiibiwe ndo aanze siasa kwani CHARITY BEGINS AT HOME
 
Back
Top Bottom