Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
18,949
Reaction score
4,643
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.
 
tatizo la mwigamba linaeleweka wewe unataka tu kumsakizia zigo lema
 
maoni ya mwigamba hayakuwa na tatizo tatizo ni pale alipojificha hasijulukane wakati chama kikiendelea kuwaka yeye alitaka awe mkoleza kuni ,maandiko yanasema shetani haji kama jambazi bali kama mwivi,uyo ni mbaya kuliko jambazi,fikiria bila kugunduluka angeandika mangapi?angetoa siri za chama ngapi hafai kusamehewa zambi ya usaliti mwisho wake ni mauti,ndo maana pamoja na petro kumkana yesu mara tatu ,baadae aliendelea na kazi ya injili kwa msaada wa mungu ila yuda alijininginiza.kufukuzwa ndo kupona kwa chama ,maana usaliti ni kama dhambi ya uzinzi ni juu ya mwili wako bali dhambi nyingine ni nje ya mwili wako .mwigamba ni kiongozi usaliti wake una impact kubwa kuliko kama mimi mwnachama nikiamua kusaliti chama sema amina
 
Kumfukiza Mwigamba itakuwa pigo kubwa sana kwa chadema naomba hiki libaki kuwa hivi,wangapi wamekosea ndani ya chadema na baada ya kukiri wamesamehewa na wanaendelea kutumiwa ndani ya chama?!,hii inaonesha kweli hiki chama hakijakomaa wala kuimarika!!
 
Mwigamba ni chasaka ndani ya chadema, chadema ina wenyewe. Km haupi vizuri na mwenye saccos hakika huwezi kudumu chadema
 
Kumfukiza Mwigamba itakuwa pigo kubwa sana kwa chadema naomba hiki libaki kuwa hivi,wangapi wamekosea ndani ya chadema na baada ya kukiri wamesamehewa na wanaendelea kutumiwa ndani ya chama?!,hii inaonesha kweli hiki chama hakijakomaa wala kuimarika!!
Mkuu, kosa alilofanya Ben Saanane ni kubwa sana. Nasikitika kuwa hajafukuzwa
 
Mleta mada tunakushukuru kwa taarifa ila chadema hawatendi haki, kuliko kumfukuza ni bora wangefanyia kaai hoja zake
 
Mkuu, kosa alilofanya Ben Saanane ni kubwa sana. Nasikitika kuwa hajafukuzwa

Ben Saanane na Yericko Nyerere ni tatizi kubw sana ndani ya chadema,na kama wamiliki wa chadema hawatakuwa makini basi hawa muda mfupi sana ujao wanakwenda kuingamiza chadema.
 
Anayetoboa Jahazi ambalo wote mnasafiria ni lazima ATOSWE majini. Nawatakia kila la heri Kamati Kuu ya CHADEMA katika kufanya maamuzi haya mepesi...
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.

wewe huwa unapoteza sana mda kwa kuandika udaku. Mpelekee Shigongo hii takataka yako.
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.
nikisikiaga habari za hao wa.hu..n.i roho inachefuka kabisa
 
Back
Top Bottom