Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Ben Saanane na Yericko Nyerere ni tatizi kubw sana ndani ya chadema,na kama wamiliki wa chadema hawatakuwa makini basi hawa muda mfupi sana ujao wanakwenda kuingamiza chadema.

Kwani nyie wapinzani wa chadema inawauma nini hawa watajwa hapo juu wakiwa ni tatizo kwa chadema?mbona mnalalamika sana?Mi ninategemea kwa kuwa wanasema adui yako muombee njaa basi nanyi mngekuwa wa kwanza kushirikiana na hao unaowaita kama maadui wa chadema ili chadema ife kifo cha kimya kimya ila sisi wengine tunawaona hawa kuwa makamanda halisi mliowashindwa kwa kutumia mbinu zenu chafu za kuwalaghai ili wawaletee siri za chama na ndio maana mnawachukia sana.
 
suala hapa kuu sio kumfurahisha lema au whoever katika chama ni kulinda hadhi na heshima ya chama na inapofikia hapo hakuna njia nyingine adhabu ichukue nafasi yake
 
Nasikia 80% ya wajumbe wa kamati kuu ni WACHAGGA,Mwenye listi atuwekee afadhali.
Kinachowafanya mkae hapo lumumba kupoteza muda kumwaga propaganda za kitoto ni kwamba chama chenu ndio kilichoshika dola. Ila hapo kitakapotolewa madarakani wote mtatafuta biashara za kufanya. Tunawaomba TRA wapeleke zile mashine hapo lumumba hizi buku 7 zikikatwa kodi nchi itapiga maendeleo.
 
Mkoa mpya kabisa umeutia nuksi ,kwetu simiyu hatuna mapoyoyo ya bk 7 lumumba,usituchafurie jina la mkoa we2 .
 
Sioni sababu ya kumfukuza mwigamba wakati ameshakiri kosa na kuomba msamaha.kwa kweli iwapo chama changu cha chadema kitaamua kumtosa,itakuwa ni kosa kubwa sana.
 
Wataangalia na video za lema akifanyiwa majamboz kuona jinsi anavyoshughulikiwa ipasavyo

Hiyo fideo ya Lema anavuliwa gwanda mbona mimi mbado sijaona............si muilete.......
 
Back
Top Bottom