Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Lema ndo alimtuma apost utumbo kwenye mitandao?alipaswa ajiangalie maana mtu mzima ukikutwa mtupu yakupasa uchutame
 
Hapo kuna walakini nilogundua Lumumba Crews ndo watetezi wa huyu msaliti, why??????????wenye akili tumeshagundua, rekebisha nyumbani kwako ndo ugeukie kwa jirani, magamba wamrudishe kwanza mwakilishi walomtimua zenji kwa kutaka serikali tatu ndo wageukie kwa jirani maana kwao kunavuja wanashadadia ya jirani, kweli nyani haoni?.............
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.
Nasikia 80% ya wajumbe wa kamati kuu ni WACHAGGA,Mwenye listi atuwekee afadhali.
Wataangalia na video za lema akifanyiwa majamboz kuona jinsi anavyoshughulikiwa ipasavyo
Naomba leo Mwigamba afukuzwe mgogoro uongezeke.

Kikosi cha watu wanao jadili mambo yasiyo na manufaa kwa taifa!(wapiga ramri). Akili zao zimejaa kinyesi badala ya fikra mjarabu! wameshindwa kabisa kuionesha jamii nini lengo la CCM kuwepo madarakani! Kama kweli Nape na genge lake waliamua kuwaweka hawa vibweka kuitetea CCM basi habari imeishia hapo.
 
Kumfukiza Mwigamba itakuwa pigo kubwa sana kwa chadema naomba hiki libaki kuwa hivi,wangapi wamekosea ndani ya chadema na baada ya kukiri wamesamehewa na wanaendelea kutumiwa ndani ya chama?!,hii inaonesha kweli hiki chama hakijakomaa wala kuimarika!!

tangu lini wewe umeanza kuihurumia cdm , hatukutaki .
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.

Unatabiri au unaukweli wowote juu yahilo? Hebu jiweke wazi, ili kama unatabiri waje na watu wengine uwatabilie, manaake utakuwa na element za uganga wa kienyeji a.k.a uchawi!
 
Unatabiri au unaukweli wowote juu yahilo? Hebu jiweke wazi, ili kama unatabiri waje na watu wengine uwatabilie, manaake utakuwa na element za uganga wa kienyeji a.k.a uchawi!

Hahaha....kwa kweli ameongea kwa uhakika kama yupo kichwani kwa lema
 
Lema ndo alimtuma apost
utumbo kwenye mitandao?alipaswa ajiangalie maana mtu mzima ukikutwa
mtupu yakupasa uchutame

yaani wewe ukweli wa Mwigamba unauita utumbo? hakika hizi akili za kibavicha ni janga la taifa
 
Hapana mkuu, lema naye anapaswa kushughulikiwa - hatuwezi kulea viongozi wasiotumia hekima wala busara katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo na zitakazokuja siku za usoni.
Haingii akilini lema kuleta tuhuma nzito hapa mtandaoni dhidi ya kiongozi wake wa chama mbaya zaidi BILA ushahidi wowote!!
Angalau basi angekuwa na ushahidi ingawa pia bado angepaswa kutumia vikao halali vya chama kupeleka tuhuma zake huko kwa vile na yeye ni sehemu ya vikao hivyo - kwa kweli (mie kama mwanachama wa kawaida) lema asipoadhibiwa italeta taswira mbaya ya double standard ndani ya chama na pengine hii itabaki kama kete muhimu kwa wapinzania wetu dhidi ya dhana nzima ya ubaguzi katika siku zijazo.

niwaombe wana CDM wote, haswa wale wasiopenda kukosolewa - tubadilike, tusipende kushabikia na kuhukumu kwa kufuata hisia tuu.
chama chetu hakita piga hatua kwenda mbele ikiwa adhabu zitakuwa kwa baadhi ya wanachama tu huku zikikwepa wengine.
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.

Mbona unakiherehere sana? Au unataka na wewe uonekane kwamba upo uptodate?
 
Simiyu Yetu

Hebu tuambie source ya habari hii ni wapi.
Acha kudanganya watu na akili zao tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Nina imani na chadema, lakini siafiki mwigamba kufukuzwa uanachama ndani ya chadema.
 
Any update kuhusu issue ya Kapuya?

mkuu, usipindishe mjadala - mie ni mwana CDM wa kawaida tu kama wewe lakini nimekuwa sipendezwi na ushabiki kipofu dhidi ya viongozi wetu hata pale wanapofanya makosa ya dhahiri kabisa.
nitashangaa sana kama kamati kuu ikimuadhibu mwigamba huku ikimuaona lema hana hatia ili hali alirusha tuhuma nzito dhidi ya kiongozi wake wa chama BILA ushahidi wowote hapa hapa JF kwenye chimbuko la kuadhibiwa huko kwa mwigamba!!
simtetei ZZK, ila kama anamakosa lema kama sehemu ya viongozi wa CDM angepeleka ushahidi wake vikaoni ili ZZK aadhibiwe na kamati accordingly, kuanzia lema aanze kuleta tuhuma zake za kwanza hapa jf kwa kweli nimemshusha na kumuona ni moja kati ya watu ambao hawafai kuwa viongozi - aishie hapo hapo kwenye ubunge tu!
nimekwisha sema siku za nyuma kwamba mambo yake ya uanaharakati dhidi ya maccm ni sawa, lakini ndani ya chama ulichopo haifai kabisa!!!
nimalizie kwa kusema, napendekeza mwigamba avuliwe uwenyekiti japo kwa kipindi cha miaka 2 (abaki kuwa mwanachama wa kawaida kama mm tu) kisha aruhusiwe kugombea tena nafasi kama hiyo au yeyote atakayoona inafaa. lema naye atimuliwe ujumbe wa kamati kuu abaki kuwa mbunge tuu - vinginevyo faida yake kwa chama ni kuleta mitafaruku tuu ndani ya chama.

wana jf wa arusha (mzito kabwela and co) tusiwe wanafki kumpa sifa za uongo kamanda lema wakati anaharibu, tutakuwa hatumsaidii.
 
Back
Top Bottom