Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

Nasikia 80% ya wajumbe wa kamati kuu ni WACHAGGA,Mwenye listi atuwekee afadhali.
 
maoni ya mwigamba hayakuwa na tatizo tatizo ni pale alipojificha hasijulukane wakati chama kikiendelea kuwaka yeye alitaka awe mkoleza kuni ,maandiko yanasema shetani haji kama jambazi bali kama mwivi,uyo ni mbaya kuliko jambazi,fikiria bila kugunduluka angeandika mangapi?angetoa siri za chama ngapi hafai kusamehewa zambi ya usaliti mwisho wake ni mauti,ndo maana pamoja na petro kumkana yesu mara tatu ,baadae aliendelea na kazi ya injili kwa msaada wa mungu ila yuda alijininginiza.kufukuzwa ndo kupona kwa chama ,maana usaliti ni kama dhambi ya uzinzi ni juu ya mwili wako bali dhambi nyingine ni nje ya mwili wako .mwigamba ni kiongozi usaliti wake una impact kubwa kuliko kama mimi mwnachama nikiamua kusaliti chama sema amina

Nimeikubali hii, Ndugu naomba uanze kutoa makala kwenye magazeti, nafikiri utaelimisha wengi
 
Ben Saanane na Yericko Nyerere ni tatizi kubw sana ndani ya chadema,na kama wamiliki wa chadema hawatakuwa makini basi hawa muda mfupi sana ujao wanakwenda kuingamiza chadema.
never interrupt your enemy when he is making a mistake,dude you totally go against this adage!!why should we take your silly opinion we mla makombo ya mafisadi.
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.

kama mwigamba anfanya ya kigamba ni bora afukuzwe, akajiunge na magamba
 
- Poleni sana ila tuwaache wafu mzikane wenyewe kwa wenyewe huko!!

Le Mutuz
 
Wataangalia na video za lema akifanyiwa majamboz kuona jinsi anavyoshughulikiwa ipasavyo
 
Ben saanane na jerko nyerere ndio wasaliti kulko yeyote chadema sema wanamdanganya mbowe kuwa wao ni makachero wake ila mbowe ajue hawa jamaa wanatumika nje ya cdm lazma waisaliti chadema hawa kna jason
 
Wiki ilyopita niliweka mada hapa kuhusu kikao cha kamati kuu ya chadema kuketi kujadili mambo kadhaa lakini mada hiyo iliondolewa mapema tu lakini leo nimeona kurugenzi ya habari ya chadema imeweka kile ambacho mimi niliweka kikaondolewa.

Pengine naomba niendelee kukumbusha kuwa katika kikao cha leo na kesho ndicho kikao ambacho kitamvua rasmi uanachama mwigamba na hatakuwa mwanachama wa chadema tena.

kuvuliwa uanachama kwa mwigamba ni shinikizo la mbunge wa arusha mjini kuwa kama mwigamba hataondoka yeye kama mbunge wa arusha mjini atafanya uamuzi mgumu hali ambayo hakueleweka vema ndipo wazee wakaamua bora kumtosa mwigamba kuliko lema kuamua vinginevyo kwani ataivuruga chadema arusha.

Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa mwigamba but furaha kwa Lema make atakuwa ametimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mwigamba.
Leo na kesho ni siku ya huzuni kwa CCM (Lumumba Team) but furaha kwa CHADEMA maana yake itakuwa imetimiza matakwa yake ya kisiasa kumweka nje ya siasa za chadema mamluki mjumbe wa Lumumba.
 
- Poleni sana ila tuwaache wafu mzikane wenyewe kwa wenyewe huko!!

Le Mutuz

Yani tangu yule hakimu mpenda rushwa apigwe chini TFF naona umekimbia jukwaa jumla!!

Ngoja nikutafutie ile thread yako Nyamlani afunika ili tuifanyie updates muhimu maana bado huamini kilichotokea.
 
never interrupt your enemy when he is making a mistake,dude you totally go against this adage!!why should we take your silly opinion we mla makombo ya mafisadi.

Utahangaika sana lakini huo ndio ukweli mkuu,najua hiyo ni sindano ya moto.
 
Nasikia 80% ya wajumbe wa kamati kuu ni WACHAGGA,Mwenye listi atuwekee afadhali.

Natamani niwe mchaga ili nipate free promo.

Vipi wewe ni mzaramo au mndengereko na funza miguuni kwa kukosa japo kandambiri?
 
Naomba leo Mwigamba afukuzwe mgogoro uongezeke.
 
Mwigamba ni chasaka ndani ya chadema, chadema ina wenyewe. Km haupi vizuri na mwenye saccos hakika huwezi kudumu chadema

Unawahi wapi? Nifafanulie chasaka,km na haupi.Kifimbo cheza tunakuhitaji huku
 
Ben saanane na jerko nyerere ndio wasaliti kulko yeyote chadema sema wanamdanganya mbowe kuwa wao ni makachero wake ila mbowe ajue hawa jamaa wanatumika nje ya cdm lazma waisaliti chadema hawa kna jason

Kikulacho ki nguoni mwako,hawa jamaa ni matapeli wa siasa kweli!!!!
 
Mwigamba kagusa ufalme wa giningi hatimae Mfalme wa Giningi akamshughulikia mapema sana.
 
Back
Top Bottom