Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Silaa alikuwa ndio mchochezi mkubwa kwa wenzie.
 
Mama yangu, kumbe Dr. Slaa aliundiwa zengwe tangu zama ziiiile? Ni shiida.
 
Slaa kajiondoa na chma kimemuomba sana abaki lkn yye akutaka
 
Mbowe ni mnyama wa hatari sana.
 
wasaliti kumbe walikuwa wanajuana ? kumbe MMX alikuwa Dr Slaa... Thanks ...
 
wasaliti kumbe walikuwa wanajuana ? kumbe MMX alikuwa Dr Slaa... Thanks ...

Wala MMX ni mwingine na bado yupo Chadema. Hatoki sasa hivi. Ila Dr Slaa hakujua kuwa je alikuwa anawek kauzibe kwa mipango ya Mbowe!
 
kama wakiyasoma haya basi watafyata tu
 
Hii kitu nilisaihisi muda mrefu, iwe inavyokua Ilikua lazima umoja wa Mbowe, Slaa na Zito uvinjike, haukuwezekana kuendelea kwa namna yoyote ile.
 

Duuh !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…