utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mkuu, hawa CDM nadhani bora wangeachana kabisa na siasa ili wawe kundi la waigizaji washindane na akina Masanja Mkandamizaj au akina BamboCDM ni zaidi ya zecomedy
Mkuu, Dr Slaa hana tofauti na wapangaji wa NHC ambao baada ya kukaa muda mrefu, wakajiona kuwa wao ndo wenye nyumba na wakaanza kupangisha nyumba hizo. Ndivyo anavyofanya Dr Slaa sasaDr.Slaa pale kawekwa na Mbowe sasa anajifanya mjanja kumuingiza Josephine kwenye masuala ya chama Mbowe na Mtei hawawezi kukubali hata siku moja.