Madai hayana msingi. Chadema ndio alimkopesha fedha? Kila kitu mtasingizia chadema mtu anadaiwa badala ya kulipa fedha za watu unamsingizia chademasiasa za chadema za kijinga sana mnakodi vijana toka Arusha kwenda kumfanyia fujo mwingamba ili iweje ni siasa za kipuuzi sana atayashinda yote haya sijui mtajificha wapi.
siasa za chadema za kijinga sana mnakodi vijana toka Arusha kwenda kumfanyia fujo mwingamba ili iweje ni siasa za kipuuzi sana atayashinda yote haya sijui mtajificha wapi.
Ingekuwa vizuri wangemchania Chupi.Aliyekuwa katibu Mkuu wa ACT jana alipata aibu ya mwaka kwa kuchaniwa suruali na shati hadharani na kijana anayemdai shilingi milioni moja. Kijana huyu anaitwa Emmanuel Gerard ambaye ni mratibu wa chama hicho Kanda ya Kaskazini.
Source: Tz Daima uk 8
My take: ukisikia kuganga njaa ndio hii, kuanzisha chama hadi kiwe chama si lelemama kama kina Mwigamba walivyodhani
Aliyekuwa katibu Mkuu wa ACT jana alipata aibu ya mwaka kwa kuchaniwa suruali na shati hadharani na kijana anayemdai shilingi milioni moja. Kijana huyu anaitwa Emmanuel Gerard ambaye ni mratibu wa chama hicho Kanda ya Kaskazini.
Source: Tz Daima uk 8
My take: ukisikia kuganga njaa ndio hii, kuanzisha chama hadi kiwe chama si lelemama kama kina Mwigamba walivyodhani
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomosiasa za chadema za kijinga sana mnakodi vijana toka Arusha kwenda kumfanyia fujo mwingamba ili iweje ni siasa za kipuuzi sana atayashinda yote haya sijui mtajificha wapi.
Madai hayana msingi. Chadema ndio alimkopesha fedha? Kila kitu mtasingizia chadema mtu anadaiwa badala ya kulipa fedha za watu unamsingizia chadema
Soma vizuri kwenye gazeti ametoka arusha kwa ndege juzi na jana ndiyo kafanya alichofanya kwanza tiketi ya ndege shilingi ngapi halafu unadai one milioni hiyo akili matope.Acha uzushi ww huyo si mwanachama wake was ACT?au kisa katoka Kaskazini?dawa ya deni ni kulipa.
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo
Hakuna deni hapo ni uhuni mtupu watu tunajua bana kwani ameshindwa kumdai sehemu zote mpaka akamdai ofisini kwa msajili,sote tunajua kuwa yule kijana katoka arusha kwa kazi moja tu ya kuja kufanya fujo kwa mwigamba ili mwigamba ahamaki ashindwe kuendesha chama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
mmeacha kumwagia sumu sasa mnapiga watu yote yatawashinda tu watu wa shetani katu hamtaweza kushinda watu wa mungu.
Act kilianzia chumbani kwa kumumba sasa kinafia chooni taratibuACT imekufa kabla hata sijakifahamu hiki chama!
wakuu nini kirefu cha ACT?