Itakuwa na yeye anakuzimia ila kuna mambo unabugi meen, either maneno yako usikute unamwambia "naomba jibu langu" hakuna mwanamke anasema nimekubali ila vitendo tu utajua, au unavovaa usikute unavaa masuruali ya kipepe kale, au swaga zako hebu jiangalie angalie tena!!!
na katka kuomba jibu huwa natumia neno hili( naomba jibu langu )nitumie mbinu gani mbadala?
Kazi kwelikweli! 7 Months?
sina hizo swagawe jua tu hivo wanawake hawatoagi jibu direct kuwa "nimekubali"...chek chek na swagga zako!!!
View attachment 193402
unaomba jibu la nini kwani wewe mwalimu??kumbe shida iko hapo na ndio maana hakukubali....na katka kuomba jibu huwa natumia neno hili( naomba jibu langu )nitumie mbinu gani mbadala?
sina hizo swaga
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.
Hahaha acha kumpoteza kijana.....unaomba jibu la nini kwani wewe mwalimu??kumbe shida iko hapo na ndio maana hakukubali....
fanya hivi mtumie tumie vimeseji tu vya kawaida "mambo, unafanya nn, vipi uko free tukatembee tembee" huu mfano tu sio upaste, unasikilizia anajibu vipi mtoe hata ukamnunulie nunulie chips(ugonjwa wa madenti), tembea tembea nae ile mida ya jioni wazungu wanasema evening walk kujenga ukaribu zaidi, piga story za tofauti sio mapenzi (kama mdomo mzito shauri ako) fanya hivo mara mbili tatu akikubali kuja ujue samaki kishakula chambo kazi kwako "kumvua samaki"
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.
Hahaha acha kumpoteza kijana.....
Kata mawasiliano naye kwa wiki moja ukiona kimya jua anakupotezea ila ukiona anakukumbuka jua hataki kukwambia ila ni wake