Pole sana ,kama sasa una mwezi wa saba unamkuza ,aloo ukimpata m'bake. ila mvumilivu hula kilichoiva ila wengine husema chelewa chelewa utamkuta mtoto si wako ,hivyo ujue kama wewe ulikuwa unafukuza kwa mida ya miezi saba wenzio wanakimbia 100m kwa sekunde tu !
shule tumemaliza na tuna ajira zetu binafisi mkuu
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.