Mwezi Unaogopa Giza la TZ..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,151
22,726
Jaman kama kuna mahala umeonekana tujuzeni.... Kesho mapumziko au? sijielewi elewi..........
 
Ucjal mi nahic utaonekana uko libya...! Lkn mbona mnaharaka hivyo wanajf? Mmeandaa nini?
 
Radio Imaan ya Mkoan Morogoro imetangaza kuwa mwezi umeonekana Mtwara. Kuna rafiki yangu yupo Arusha yeye ni answar sunna amenipgia simu kuwa wao kesho wanaswal, mwez umeonekana Malysia. Kwa sisi wa BAKWATA kesho tunamalzia.
 
Nazidi kupata mashaka na dini ya ALLAH.
 
kesho lazima IDD.. hata ukigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…