NI STORI YA KWELI ILITOKEA MIAKA YA NYUMA SANA
watu walikuwa wakiangalia mwezi
mwandamo kwa ajili ya mfungo wa ramadhani,vijana kwa wazee.
mara mzee mmoja aliyekuwa anakaribia miaka mia akasikika akisema,
"mwezi ule pale nimeuona"
watu, "ukowapi mzee mbona hatuuoni?"
mzee, "ule pale mbona mimi nauona"
kijana mmoja akamwangalia mzee kwa makini zaidi,akagundua kuwa kuna nyusi imekaa katikati ya jicho la mzee,akaitoa kisha akamuuliza,
"vipi babu bado mwezi unauona"
mzee akasema" siuoni tena mjukuu wangu"