samahanini waislam wenzangu, hivi mwezi ushaandama?
Shukraan. . ...
Mi naomba mwaliko wa futari tu...
Usijal andika chakula ukipendacho
Ugali + matembele + bamia....
Hahahaha usinchekeshe saivi
Mola awajaalie mfungo mwema
Mi naomba mwaliko wa futari tu...
Mamlaka ya Yemen imetangaza kuuona mwezi na kuanza kufunga on Suturday 28 June 2014. Aidha; some parts of US,BELGIUM,RUSSIA,ITALY,LEBANON na TURKEY Ramadhan ya 1 itaanza Suturday 28 June.
Nchi kama SAUDI ARABIA,EGYPT,JAPAN,MALAYSIA,UAE,JORDAN,PALESTINE,INDONESIA,SOUTH KOREA na KUWAIT mamlaka husika zimetangaza kuanza kufunga siku ya Jumapili 29 June 2014.
SOURCES: (1) Radio Imaan
(2) Global - News - OnIslam.net
Wanaofunga upande wa Ulaya: Je inawalazimu kufunga kwa masaa mangapi? Ikizingatiwa kuwa huu ni wakati wa Summer na jua uwaka kwa zaidi ya masaa 12?
...mwezi mtukufu?! Hivi hii miezi mingine ni haramu?! Mimi napendekeza mwezi huu ungeitwa mwezi wa toba! Mwezi rasmi wa kutubu dhambi zetu na kuwa karibu zaidi na Mungu. Ni mtazamo wangu tu! Tusiute " Mwezi Mtukufu " uwe "Mwezi wa Toba "