Nachukua huo mnya wake aloacha hapo naenda kisumbawangaKuna mtaa mmoja dalali mmoja wanamwita mngoni ukimzingua anakuja kukata gogo kila siku mpaka umpe hela yake hata ubadili kitasa cha geti.Hata kama fensi ina umeme asubuhi ukiamka unakuta nnya mlangoni.
Huo utoto sifanyi, kuna dalali nilimpa kazi nikatia wese kwa boda boda yake siku 2 anizungushe kucheki nyumba.Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake
Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20
Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba
Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja....
Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo
Huo utoto sifanyi, kuna dalali nilimpa kazi nikatia wese kwa boda boda yake siku 2 anizungushe kucheki nyumba.
Nilifanikiwa kupata mjengo kwa 150k, nikamshikisha hela nusu landlord nikamwambia siku nakuja hamia nitamalizia nusu. Hio siku nawasili kukatokea zali kumbe nyumba ile jamaa alipokea hela mara 2...ikabidi anifaulishe tu kwenye nyumba ya 250k kwa kodi ya 200k nikaongezea hela kidogo nikaingia.
Ishu ikaja kwa dalali baada ya kujua nimelipia tayari akadai nimpe hela ya mwezi mzima nikawaza nampaje mtu 150k usawa huu? Nilichofanya nikamshikisha 50k kisha nikamsokota anicheki baada ya siku 10 hivi nimalizie hela. Zilipofika akaanza sumbua nikamtia block tu maana hakukuwa na namna.
Mkuu,Mimi natafuta nyumba mguu kwa mguu hadi napata
Nikishindwaga namwambiaga dalali mapema
Bwana nina 20k nataka untafutie nyumba ya 100k
Akiona dharau shauri ake akiona inamfaaa atantafutia
wengi watajitia kukataa ila we waachie namba ya simu
utaona tu kameseji "mkuu vipi ile nyumba bado unatafuta" (hapo unajua ndege kashanasa huyo)
madalali wasengerema tu hawafaiHuo utoto sifanyi, kuna dalali nilimpa kazi nikatia wese kwa boda boda yake siku 2 anizungushe kucheki nyumba.
Nilifanikiwa kupata mjengo kwa 150k, nikamshikisha hela nusu landlord nikamwambia siku nakuja hamia nitamalizia nusu. Hio siku nawasili kukatokea zali kumbe nyumba ile jamaa alipokea hela mara 2...ikabidi anifaulishe tu kwenye nyumba ya 250k kwa kodi ya 200k nikaongezea hela kidogo nikaingia.
Ishu ikaja kwa dalali baada ya kujua nimelipia tayari akadai nimpe hela ya mwezi mzima nikawaza nampaje mtu 150k usawa huu? Nilichofanya nikamshikisha 50k kisha nikamsokota anicheki baada ya siku 10 hivi nimalizie hela. Zilipofika akaanza sumbua nikamtia block tu maana hakukuwa na namna.
tatizo ni pale unapokuwa unataka kwa haraka.Mkuu,
Hii ya kutafuta nyumba mguu kwa mguu nd'o staili yangu hii.