toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake
Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20
Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba
Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja.
Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo