Mwezi April, ni wa kivivu

sambeke

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
713
652
*AHSANTE MWEZI APRIL*
Huu mwezi mpaka unaisha kila wiki ina sikukuu.
Kwa msingi huo siku za kazi kwa wiki zote nne ni nne tu kwa kila wiki.

1. Wiki ya Kwanza - Siku ya Ijumaa Tarehe 7 ni Karume day.

2. Wiki ya Pili - Ijumaa tarehe 14 ni Good Friday (Ijumaa Kuu).

3. Wiki ya tatu siku ya Jumatatu tarehe 17 nj Easter Monday.

4. Wiki ya nne - Tarehe 26 Jumatano ni Union day (Sikukuu ya Muungano)
*BE BLESSED APRIL*

WATU BWANA
 
Back
Top Bottom