Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na matajiri.
Mimi nashindwa kufika kwa babu kutokana na kipato kunikaba jamani naomba michango yenu ya hali na mali sibagui mchango ili niweze kufika kwa Babu niokoe maisha yangu. Mnao penda kuchangia mtu akitangulia mbele ya haki onyesheni ungwana wenu kipindi hiki ambapo sijatangulia mbele ya haki.
Mchango wako naomba unifikishie mm mwenyewe au hawa wafuatao nina imani nao;-
Mchungaji Masanilo
Babu Asprin,
Carina Ti
Kimey
Kutoa ni moyo wala si utajiri waungwana.
Mkono mtupu haulambwi.
Sura sio roho.

Ningekuchangia, ila mimi na mdogo wangu loveness love tulipopanga kwenda, ulituvunja moyo kwa sana tu. Nasi kwa ushujaa wetu na kujiamini tumeweza kwenda na kufika na kunywa Dawa kwa msaada wa PJ kaka wa uhakika, bila kumsahau Sahara Voice na Mzee wa Rula. Asanteni waungwana. msalimieni Preta.
Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na matajiri.
Mimi nashindwa kufika kwa babu kutokana na kipato kunikaba jamani naomba michango yenu ya hali na mali sibagui mchango ili niweze kufika kwa Babu niokoe maisha yangu. Mnao penda kuchangia mtu akitangulia mbele ya haki onyesheni ungwana wenu kipindi hiki ambapo sijatangulia mbele ya haki.
Mchango wako naomba unifikishie mm mwenyewe au hawa wafuatao nina imani nao;-
Mchungaji Masanilo
Babu Asprin,
Carina Ti
Kimey
Kutoa ni moyo wala si utajiri waungwana.
Mkono mtupu haulambwi.
Sura sio roho.
Hongereni kwa kufika kwa babu
Kwani ukinichangia na mm niende kuna ubaya?
Hakuna, ila uliowataja unawaamini wako mbali na ninapoishi sasa mchango nitawapatiaje?
Am very very close than you think Da mie...we kua na imani tu kua Fidel atapata mchango wakeHakuna, ila uliowataja unawaamini wako mbali na ninapoishi sasa mchango nitawapatiaje?
Am very very close than you think Da mie...we kua na imani tu kua Fidel atapata mchango wake
Mie na upeleka kwa rev. akiunywa juu yako!Wabongo tujifunze kuchangia watu kwenye matatizo si mpaka tusubiri afe ndo tumchangie