Mwezenu nina furaha!!!

Yani we wacha tu hata na mimi huwa nakuwa nafuraha furaha nikiwa na pesa, yani mpaa sitaki kula.


Zimejaa leo kwenye account nini :biggrin:
 
mmmh, mie huwa napata furaha ya hivyo nikijifanya bushoke.

Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Kama hautojali niPM kilichokufurahisha ili nikupongeze. Ukieleza hapa hazarani waswahili watakukwangia si unajua.
Asante sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom