Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,817
- 8,266
Waafidhina siku zote wanabakia kwenye misimamo yao, Twisted Tongue ndiyo lugha ya siasa kutegemeana na wakati.Wewe umejuaje kuwa hiyo ndo sababu ya yeye kusema hivyo?
Au unadhani/ unahisi tu?
Waafidhina siku zote wanabakia kwenye misimamo yao, Twisted Tongue ndiyo lugha ya siasa kutegemeana na wakati.Wewe umejuaje kuwa hiyo ndo sababu ya yeye kusema hivyo?
Au unadhani/ unahisi tu?
Waafidhina siku zote wanabakia kwenye misimamo yao, Twisted Tongue ndiyo lugha ya siasa kutegemeana na wakati.
Nimeshakuwa pulled over mara kibao tu na huwa ninafuata protocol.
Nikiona tu nimewashiwa taa basi nasimamisha gari pembeni ya barabara, natoa kitambulisho changu toka mfukoni halafu mikono yote miwili naiweka kwenye usukani ili afisa polisi aweze kuona kuwa sina silaha yoyote ile mikononi.
Na akija dirishani huwa sina attitude. Naongea kwa ustaarabu na hata wao huwa wastaarabu sana.
Mwisho wa siku kama nitapewa citation na itokee sikubaliani nayo basi hapo kwenye ticket kutakuwa na court date kama nitapenda kwenda kuipinga hiyo faini mahakamani.
Kwa hiyo wewe ndo unayajua mambo ya wamarekani??Kwa nini unahukumu watu usiowaelewa? Mambo mengine ni bora tu ukae kimya kuliko kujifanya jaji wa mambo usiyoyaelewa, unafikiri kuna mtu anayependa kufa? Au unafikiri kwa kuongea hivyo ndiyo Mzungu atakuona wewe better nigga?
Poa mkuu, usipaniki pumzi inaweza kukata!!! Teh tehWe nenda Mkuranga huko kuna kibabu kimeuliwa na risasi, ebo!
Umeninukuu vibaya.kwa mtoa habari alivyoileta na kuhusisha matukio yaliyotokea hivi karibuni..unaweza kuhitimisha na kusema ''Tatizo ni Weusi''..
japo inaweza kuwa si kweli...
sijakunukuu wala kukuelewa vibaya...nilimaanisha hivyo hivyo ''uweusi''..ila kwa namna ulivyoiandika..Umeninukuu vibaya.
Nimemaanisha "tatizo ni rangi ya ngozi ya miili yao" au uweusi wao.
ndo maana nkaweka neno "baadhi" mkuu always naepuka kuhukumu watu wote kwa dhambi za wachacheNdiyo, lakini si kila mzungu yuko hivyo mbona wengine wanaoana na waswahili.
Sasa huyu mswahili ambaye alikuwa ameshikilia silaha wana mwambia atupe silaha chini anakataa - hivi kwa akili za kawaida walitaka Polisi wa act/react kivipi - ukiwekea maanani kwamba jimbo hilo hilo wiki iliyopita Polisi 11 waliuuwawa na wengine kujeruiwa vibaya sana.
warudi nyumbani kwao wapi wakati huko ndoo kwao!!! Ni saw na kumuambia Mohamed Deweji arudi Kwao India wakati kwao ni SingidaJaman nao kwan wanyanyasike ivyo, si warud nyumban tu! Mashamba mbona yapo meng afrka
Pamoja sana!!!sijakunukuu wala kukuelewa vibaya...nilimaanisha hivyo hivyo ''uweusi''..ila kwa namna ulivyoiandika..
Ngoja tu watarudi bila shurutiMnatukebehi eti sisi wala vumbi!!!!
Rudini nyumbani
Mnaishi maisha Magumu sanaHere we go again!