sheria zipo na zinambana..its a matter of both international law na domestic law..tatizo si kuwepo kwa sheria bali ni watanzania wengi hawana habari nayo na hawajihusishi, wanabaki tu kulalamika kuwa wameonewa badala ya kwenda kwa mwanasheria awasaidie..
Msingi wa racism si matter ya kusema huyu jamaa anapenda wazungu tu basi yeye ni mbaguzi, la hasha..msingi unaenda chini ya hapo, unakuta kama wewe kuwa hataki kusoma na weusi, hawataki weusi nchini mwake, hataki mwanae aoelewe na mweusi etc etc..you have to go deeper and see if he is really racist..yaani kwa mtazamo wako kama ni wa uhakika basi hata mimi ni racist maana napenda zaidi kuwa na demu mwaarabu na si mweusi, sasa how can i be racist wakati mm ni mweusi tayari? sina hata chembe ya ubaguzi ndani mwangu, nimekuwa tu na mademu weusi na kuona sasa basi, nataka aina nyingine.
Inabidi uelewe kuwa kila mtu ana preference yake..mtu anaweza akasema sitaki kuoa mweusi lkn hana hata chembe ya ubaguzi, its just his own taste
Msingi wa racism ni imani kuwa watu wa rangi fulani ni bora kuliko watu wa rangi zingine na hivyo kupelekea kuwadharau, kuwanyanyasa, na kuwatendea visivyo, kwa ujumla.
Msingi wa preference ni mapenzi kwa kitu au mtu bila ya kujiona wewe ni bora zaidi ya wengine kwa misingi ya kubagua.
Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Bila ya shaka racism inaanza kwenye preferences.
Sio suala la mtu kulazimishwa kumpenda mwafrika bali ni kuangalia chanzo cha mtu kuwa na preferences ambazo zinafungamana na race.
Zinaanzaje?
Na jee kama atajua sheria haitambana (Tanzania case in point), preferences zake zitafikia wapi?
Racism has many forms mate..its not possible to specifically define it as you have put forward, what you have put forward is racial supremacy which goes with individual racism ,but that is just one form..there are so many others like cultural racism, institutional racism, other articles also have xenophobia as a form of racism.
Mi napenda kuoa mwarabu kwa hiyo ni racist?
Mi napenda kuoa mwarabu kwa hiyo ni racist?
Mkubwa mimi sijakataa kuwa kuna preferences duniani. Kwa mfano ninaweza kusema na-prefer a white to a black iphone. Ila hivyo ni vitu sio watu.
Ninachotaka kujifunza inakuwaje mtu anaprefer a certain race of people? Kwa sababu sio watu wote wa race hiyo wana muonekano sawa, tabia wala hulka zinazofanana.
Mfano wako wewe hapo, unapenda Waarabu. Waarabu kimuonekano wanatofautiana ukianzia weupe wenye singa na macho ya grey/kijani hadi weusi na macho meusi na nywele ngumu. Tabia na tamaduni pia ni tofauti baina ya nchi na nchi na mtu na mtu
Unaposema una prefer race una prefer nini?
I mean that I prefer to marry an Arabian to a black african, arabs have many forms yeah but the ones i like are from Lebanon they are hot according to me.
People prefer other races due to many reasons, using me as an example, this is due to my own experience..i once met an arabian who was damn hot and we had a chance to talk about their culture, life etc etc which made me in love with them. This is how I became determined to at least try and marry an arab in my life.
What you are talking about here is discrimination. But racism as defined by Merriam-webster is :
1 : poor treatment of or violence against people because of their race
2 : the belief that some races of people are better than others
Kimsingi wewe huna preference ya kuoa Mwarabu tu bali na Mtu wa aina fulani kama huyo Mlebanon uliyemuona.
Kwa hiyo kusema unapendelea kuoa race fulani ni uongo, kwa sababu sio kama yoyote tu kwenye race hiyo utaridhika nae
kweli kiaina lakini nah, umegeneralize sana kwenye point yako ya pili..sasa kama umependa kuoa mwanamke race aina fulani inaamanisha kuwa upenda watu wote wa hiyo race? Hapana..inaamanisha kuwa ntatafuta mlebanon, kama nikimpata ntaona kama tunapendana au lah na mambo mengine etc etc yatafuata. Kama nisimpopata fresh tu
..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
Waarabu rahisi sana kuwapata, hasa kwa miko ya Pwani. Ila ingekuwa unataka kuoa Mhindi ningeshangaa, kwa sababu ni veyr rare kukuta Mhindi kaoa ama kuolewa na m'bongo!
kweli kiaina lakini nah, umegeneralize sana kwenye point yako ya pili..sasa kama umependa kuoa mwanamke race aina fulani inaamanisha kuwa upenda watu wote wa hiyo race? Hapana..inaamanisha kuwa ntatafuta mlebanon, kama nikimpata ntaona kama tunapendana au lah na mambo mengine etc etc yatafuata. Kama nisimpopata fresh tu
Nitamwoa bila hata kufikiria mara mbili. Statement yangu ya mwisho ilisema "kama nisimpopata fresh tu", mlebanon ni kama tu wish, but not that i will be holding myself back from not being with anyone that i love. 🙂je ukimpata asiye mlebanon "mwarabu" halafu ana sifa unazopendelea?
.... Some like the caramel kind, others prefer the crunchy black, and etc.
...
...samahani, hiyo juu underlined ni rangi gani kwa Kiswahili? Nitashukuru ukitoa mfano kwa picha...