P Packysf Member Joined Nov 1, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Nov 14, 2011 #1 Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana.
Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Nov 14, 2011 #2 mnyika anasoma sana vitu huyu bwana...werema sijui kama anafanya homeworks zake sawasawa
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,757 Reaction score 448 Nov 14, 2011 #3 Packysf said: Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana. Click to expand... Mbona sikuelewi hapo nani ni nani.? Na nini tofauti yao.? Je pale muelewa ni nani zaidi au wote lao moja.?
Packysf said: Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana. Click to expand... Mbona sikuelewi hapo nani ni nani.? Na nini tofauti yao.? Je pale muelewa ni nani zaidi au wote lao moja.?
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Nov 14, 2011 #4 naona AG anakinzana na ukweli,huyu jamaa ni kilaza sana...
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 14, 2011 #5 sijaelewa bado.Nalog off