mbongo atakunyima pesa sio manenoMna uhakika gani km ishu ni mapenzi
mbongo atakunyima pesa sio manenoMna uhakika gani km ishu ni mapenzi
Utamu wa sosho midia upo comment section niamini mimi 🤣🤣🤣Kuna mdada mmoja alijipost Insta anawashauri vijana jambo fulani,
Sasa huyo mdada alikua na macho makubwa na uso wa Duara,
Comment ya kwanza kabisa ikamwambia;
''Tulia na uso wako kama emoji ya Jua''
Tusi mbeze asaidiweDuh aisee kama ni hivyo basi ana haki ya kukonda
Acha tu maisha haya, juzi kwenye sherehe Nigeria katunza dollar tu hawa vijana hawaNa kuna watu wanasema ana madeni pia harusi ilimuacha na madeni
Inasikitisha kwa kweli...Ameyakanyaga....Na Mama yake Mkwe yupo kwenye NetFlix - The Real Housewives of Lagos.Chezea harusi tatu na sherehe kila wiki na zote utoe hela wewe halafu hela inatoka tu haingii lazima uwe stressed. Mwili haudanganyi
Kuna aina fulani ya watu kuwa kama wamefeli katika maisha yao na kutaka kuishi ndoto zao kupitia ma celebrity.Huko Instani Na Tiktoktini Gen Z wameanzisha kampeni ya " Free Juma Jux ". Wanasema Juma Jux anatumikishwa kwenye ndoa yake na body language yake ndio msema ukweli..
View attachment 3648844
😁😁Inaitwa from Dar to Lagos
Jux arudi Bongo, amekonda na anaishi kwa sonona, kusimama naye ni pamoja na kumtaka arudi tumlee wenyewe.Huko Instani Na Tiktoktini Gen Z wameanzisha kampeni ya " Free Juma Jux ". Wanasema Juma Jux anatumikishwa kwenye ndoa yake na body language yake ndio msema ukweli..
View attachment 3648844
Kuna kupungua na kukondaHiyo ni afya nzuri kwa binadamu ,sema wamatumbi tumekariri kiriba tumbo ndio afya njema
Kwa hiyo anaishi Nigeria?Jux arudi Bongo, amekonda na anaishi kwa sonona, kusimama naye ni pamoja na kumtaka arudi tumlee wenyewe.
KAMUULIZE ZUCHU nigga!Kwa hiyo anaishi Nigeria?
Matokeo yake ye ndo kaonekana boya 😁Madai yake Vee asimuone boyaa😂😂🤣🤣
Kwa jinsi navyowajua wanigeria hata huyo Vanessa anateseka kichizi, Wana manipulate balaa
Wote wangese tu Vee na Jukusi, ila kidogo uanamke unambeba Vee
Hapo kapungua au kakonda?Kuna kupungua na kukonda
Hatujafurah ila tumecheka😂si unaona mond anakula misotojo tu ya kizanzibar full kunonaKwahiyo wale wote walio owa pisi za Bongo wao wamestarehe sio? hakuna wanaokomeshwa sio?
Hivi inakuaje mtu unafurahia matatizo ya mwenzako? tena hata bila kujua kua mtu huyo ana matatizo gani?
😂😂😂 HahahaNa ile ya jamaa anaongea kiingereza kila siku asubuhi hadi usiku lazima akonde, kiingereza kigumu nyie acheni 🤣🤣🤣
Mi pia babes!🤣🤣🙌 mi navyopenda kucheka
Yeye na wanaijeria wenzie wanapenda shari pia so tumekutana upande wa mke moto, upande wa mume moto 🤣Hata Priscila mwenyewe hajakaa kinyonge, umeona comebacks zake? Kuna screenshot niliona amejibu na sticker inasema ' He won't leave because pvssy is so good ' 🤣🤣🤣