Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Ukitaka ucheke ufe nenda kwenye comment section ya wabongo insta au ticktock.

Lowkey wabongo wengi ni comedians.
Hata Priscila mwenyewe hajakaa kinyonge, umeona comebacks zake? Kuna screenshot niliona amejibu na sticker inasema ' He won't leave because pvssy is so good ' 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom