mwenzenu yamenikuta ....na jutajee???

mwenzenu yamenikuta ....na jutajee???

huyo baba ake nae MISIFA ndo ili mjaaa lol, ni nini kujiapiza vitu usivyo na uhakika navyo??
ya anafikirin kamkomoa binti kumbe hata kwa ana hasara pia. Im sorry for them. Pole sana sakapal
 
Last edited by a moderator:
kha mwanawane kapswa binti hivi hivi wacha na mie nigegede mtltoto wa form four nipate kuoa dogo dogo
HAHAHAHAHAAHAHAAAAA! Nilitaka kushangaa usifurahie wewe mzee wa mgegedo, tena mwenzio kapata mke bila mahari.
 
Tafuta ushauri wa KISHERIA, mwanaume afanyaye mapenzi na binti chini ya miaka 18 Jamhuri humtia hatiani kama sikosei kwa kosa la UBAKAJI...
 
Dah kwamba wote wanaokuwa wamekubaliana kuvunja amri ya sita wanakuwa wamekubaliana ndoa? Lakini kisheria si wanadai haikubaliki huyo bado ni mtoto au bado ile ya 14 years ina hold water (kama wazazi wamekubali).?

Mwe mie namwonea huruma jamani.
Swali la kizushi: Hii tabia ya huyu binti haipo kwenye ukoo wa babake au mamake kweli? maana makitu mengine ni complicated kweli.
hii kitu nahisi itakuwa ipo kwenye genes.....au sasa kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi baba na mama....ila kwa kuwa mzee ndio aliunga mkono ishu hii basi kwake laonekana jambo la kawaida....:madgrin:
 
Tafuta ushauri wa KISHERIA, mwanaume afanyaye mapenzi na binti chini ya miaka 18 Jamhuri humtia hatiani kama sikosei kwa kosa la UBAKAJI...

Kwani sheria ya ndoa inaruhusu wana ndoa wawe na miaka mingapi? kwa wote mke na mme?
 
Mie si mtaalam wa Sheria best...ila kwa ninavyofahamu umri wa miaka 18 ndio utambulikao kisheria kwamba kijana anaweza kufikia maamuzi kama mtu mzima...Ila kwa suala lako kama kweli huyo binti ana miaka 17 basi kuna kila dalili njema za kumtia hatiani huyo Mwanamume anayemgegeda...

Kwani sheria ya ndoa inaruhusu wana ndoa wawe na miaka mingapi? kwa wote mke na mme?
 
'perfect parents' tuchunge midomo yetu; aibu na mijisifa ndio iliyomfanya baba kumuoza binti yake bila kufikiria. Halafu hicho kitendo cha kumfumania binti, kweli? Naona kama imekaa sivyo.
 
Tafuta ushauri wa KISHERIA, mwanaume afanyaye mapenzi na binti chini ya miaka 18 Jamhuri humtia hatiani kama sikosei kwa kosa la UBAKAJI...

hajabakwa mtu hapo kwa ridhaa ya wazazi ndoa kwa binti ni miaka 14, hii ndio tz bana
 
Gharama za gesti kwisha! Mwambieni mke wa huyo jamaa naye ajue kuwa baba kapata mke! Nachukia wazee wazima kuharibu maisha ya watoto wa wenzao!
 
Si mwanazuoni wa sheria lakini kwa hili nadhani utakuwa umekosea, kuna makosa ambayo mtuhumiwa hushitakiwa na Jamhuri hata kama kuna baraka za namna yoyote ile kutoka kwa yoyote....yaani mazingira hayaathiri kuburuzwa au kutoburuzwa mahakamani!!!

hajabakwa mtu hapo kwa ridhaa ya wazazi ndoa kwa binti ni miaka 14, hii ndio tz bana
 
hahahhahahahahaah nachekaga sana mimi

Halafu we jirani....! haya tu...ukiendelea ivo namm naenda kujirusha leo nkitoka job!!!

Si mwanazuoni wa sheria lakini kwa hili nadhani utakuwa umekosea, kuna makosa ambayo mtuhumiwa hushitakiwa na Jamhuri hata kama kuna baraka za namna yoyote ile kutoka kwa yoyote....yaani mazingira hayaathiri kuburuzwa au kutoburuzwa mahakamani!!!

Mh! mzazi kafungisha ndoa..keshamaliza kesi yoyote iliyokuwepo. labda na yeye apelekwe mahakamani kwa kumuoza mtoto wa shule!!!
 
Hivi ndoa halali si ile ambayo kuna maridhiano ya kufunga ndoa kati ya mwoaji na mwolewaji? Mi naonaga kama vile ndoa za mkeka hazinaga maridhiano hayo vile?? au nakosea?

Kupeana vikojoleo kwa hiari ni zaidi ya hiari ya kukubali mke au mume. Yote yanaanzia hapo hayo mengine ni ceremonial zaidi
 
Kalikuwa hakaendi shule kanakimbilia ngono.
Sasa kapata ngono masaa 24 nayo haitaki.
Hivi vitoto hivi
amu.......... We si uliwahi kukoswa koswa wakati ule.... una bahati sana shogako alikushtua, saa hizi ungekuwa mke wa pili mahali fulani..... (Just Kidding) LOL
 
Last edited by a moderator:
Ndo hivo, aaaffffuuuu huwezi kukuta padri au mchungaji anafungisha ndoa ya mkeka.... Za mkeka zipo huko huko kwa wenzetu
Nakubaliana na wewe mchungaji au padri huwezi sikia akifungisha ndoa ya mkeke ila umeshasikia wanafungisha ndoa ya jinsia moja. Sasa ujue Qoraan haisemi chochote juu ya ndoa ya mkeka kwamaana haipo na bibilia pia haisemi juu ya ndoa jimsia moja ni upotoshaji tu.
 
Jamani wanajamvi mwenzio akinyolewa nawe tia maji...............

Hapa nilipo nimechanganyikiwa ................laiti ningejua haya yatatokea nisingekubali.........
Haya ni maneno yaliyomtoka mtoto wa dada yangu......., ilikuwa hivi,

''binti huyu wa dada yangu amemaliza form four na baada ya kumaliza form four baba yake alimlipia computer na english course asome. Alikuwa anaenda dara sani kila siku na alikuwa akichelewa kurudi nyumbani kwao kutokana na shida ya usafiri. Kumbe binti alikuwa mida ya lunch anapitia kwa mshefa wake (ambae ni mume wa mtu) na wanaenda hoteli za town na kuvunja amri ya sita kisha jioni anarudi home kimyaa. Jinsi binti alivyo mpole, mkimya, msikivu na mtaratibu hakuna aliyedhani atakuwa anafanya mambo hayo.
Kumbe hoteli walizokuwa wanenda kuvinjari na huyo mume wa mtu kuna rafiki zake na baba wa binti huyo walikuwa wakimuona akijinafasi na huyo mpenziwe. Taarifa zikamfikia baba mtu, nae alikuwa ni yule wa kujisifia mbele za watu kuwa binti yangu anaakili, mtiifu, msikivu ametulia na sifa kibao. Baba yake hakuamini hadi siku walipompa mchongo akashuhudie kwa macho yake. Siku ya tukio kwa kuwabishia rafikize kuwa huyo si bintiye na kama akiwa ni yeye nmfungisha ndoa ya mkeka hivyo alifika na mashehe maana ni muislamu. Basi wakafika hoteli husika na akamuona bintie anatoma ndani ya hoteli na mpenziwe wakiwa wameshikana mikono alipigwa na butwaa na hasira na kusema ngoja ipite nusu saa tukawagongee kwenye chumba chao kama ndo binti yangu kweli basi namfungisha ndoa. Baada ya nusu saa wakagonga mlango wa chumba kweli alikuwa bintiye na huyo mume wa mtu na waliwakuta wanakula raha ndipo wakawaamuru wavae nguo na shehe akawafungisha ndoa palepale.
Hivi ninavoongea binti kafukuzwa kwao na anaishi na huyo mwanaume(kampangia chumba maana nae anafamilia yake), mama mtu amabaye ni dada yangu hajatoka nje kwa kuumwa tangu tukio la bintiye kufungishwa ndoa ya mkeka kwani ndio alikuwa binti yao wa kwanza. Huyu binti alinifata kazini kuniomba nimuombee msamaha kwa wazazi wake arudi na aendelee na maisha kwani bado anataka kuendelea na shule na alikuwa anaongea huku analia na ameahidi kutorudia tena na anajutia makosa aliyofanya.
Mimi najiuliza hivi, ndoa ya mkeka inatambuliwa kiserikali? binti ana miaka 17 sasa nikienda kumuombea kwa wazazi arudi je ndoa itafutika? mke wa huyo mpenz wake hajui ishu. Binti ni wale watoto wanaorudi shule hawafui hawapiki wala hawafuti vumbi, nyumbani mboga nane yaani wafanyakazi kila mahali ili mtoto asome asipoteze muda kwenye shuhuli za nyumbani. Analia kwani pia hiko chumba alichopangiwa hajui kufanya kazi yoyote hata kuosha chombo hajui.
Karibuni kwa mawazo yenu na mchango tafadhali.

Uzembe wa wazazi unachangia.
Sijawai kusikia eti binti wa miaka 17 hajui kuosha vyombo, hajui kupiga mswaki, hajui kufua nguo, hajui kuoga, kisa mfanyakazi wa nyumbani akifanya vyote. Wakati hata watoto wa maraisi wanajua kupika, kufua na kazi za nyumba zote, itakuwa huyo mtoto wa maskini.

Kwani wazazi wake walifikiri mafunzo yapo kitabuni tu na shuleni? .
Ndio hivo sasa mwambie mama ake akamuoshe vyombo, na akifa inabidi afufuke aje kumuoshea vyombo.
 
ndoa kama hizo,mara nyingi huwa hazidumu.huyo baba alifanya hivyo kwa hasira tu,pengine na yeye mwenyewe anajijutia.
 
Back
Top Bottom