mwenzenu yamenikuta ....na jutajee???

mwenzenu yamenikuta ....na jutajee???

Mh ni hasira lakini atajuta baadae huyu baba. Ila inavyoelekea naye anako kamchezo flani maana mpaka marafiki zake waje wamwambie ya mwanae halafu naye abishe kiasi cha kuweka nadhiri??? Lazima alikuwa anajaribu kuprove point flani hapo.
 
samahani hivi miaka 17 sio ubakaji kweli? Na hapo mzazi hahusiki kushurutisha bintiye abakwe???

Msaidie binti kwenda kuomba radhi mzazi akikataa msaidie binti atokw huko,kama una uwezo wa kumwendeleza.

Kumbuka kuwa keshajua kosa na hatofanya ujinga tena(kama anajuta toka moyoni na si anajuta ili akale bata kwao)
 
asanteni wana jf kwa ushauri yote nimezingatia yale mazuri. Jana nilienda kwa wazazi wa huyu binti na baada ya maongezi wazazi walielewa kosa walilolifanya na wamepanga kumrudisha binti nyumbani na wanafanya mipango ya kumpeleka boarding. Ila ilikuwa kazi kubwa maana mama mtu alikuwa so depresed. Mbarikiwe wote.
 
mi nadhani hamna wazazi wasio waonya watoto wao,mpaka mzazi aliamua kumsomesha basi alikua na malengo mazuri na mtoto wake,kwakua alitaka mambo ya wakubwa haraka basi ndio hivyo kapewa,asilalamike,then umetuambia huyo mtoto hawezi hata kufanya kazi moja,hiyo ndi fursa adhiim sana kwa yeye kuona maisha yalivyo mwacheni apate dozi ya maisha hope majibu ya kitoka ateenda cbe ataanza na certificate then ataunganisha mpaka tafikia atakapo,pia mshauri aendelee na course yake itamsaidia,cha kumshauri mfuate mumewe umsisitize kwamba asiendelee na kuwasaliti wake zake wawili kwa sasa.alipokua mdogo aliutaka ukubwa sasa mkubwa anautaka udogo,duu
 
Back
Top Bottom